Kwa yanayotokea Mbeya, huwezi kusema Hilo ni kanisa la Mungu, wachungaji wanafukuzwa kama mbwa, ngumi zinapigwa kanisani, wachungaji wanatukanwa! Aibu !Mpuuzi wewe umetumwa na mafisadi wenzako kuharibu kanisa la MUNGU, Dr Shoo hanunuliki tulieni wapuuzi nyie
Weka ushahidi, kisa Askofu wenu ameondolewa kwa mujibu wa taratibu za kanisa mnaleta chuki zenu kwa baba Askofu hamtawezaKwa yanayotokea Mbeya, huwezi kusema Hilo ni kanisa la Mungu, wachungaji wanafukuzwa kama mbwa, ngumi zinapigwa kanisani, wachungaji wanatukanwa! Aibu !
Kabisa huyu ni shetani mkubwaMshindwe na mlegee....Umetumwa na ibilisi ..nyie ndio mnatuharibaia kanisa.Dr Shoo anafit na ataendelea kuliongoza kanisa
Fanyeni fujo huko mbeya mtajua ni yupi atalindwa na dola kati ya Mwakihaba na Mwaikali.Na huyo Mwaipopo wa sumbawanga haipiti miaka miwili atakuwa nje ya mfumo.Mbinafsi na mchochezi sana.Sikiliza kauli yake baada ya mkutano wa maaskofu Dodoma.Hajaondolewa, bado ni askofu halali, Mwakihaba apewe uaskofu wa machame
Huyu hata haelewi anachosema; achana naye. KKKT ndiyo inayoongoza Tanzania kwa sasa kwa kuwa na watumishi wa Mungu wengi mahiri, bora sana na waadilifu pia. Inaonyesha hata wachungaji wa KKKT hawafahamu vizuri. Huwezi ukamtenganisha Mchungaji Kimaro na yule wa Mbezi Beach pamoja na mwingine yule wa Azania Front, na wengine wengi walioko kwenye kanisa hili. KKKT nawakubali sana wachungaji wao. Mtu akiichambua KKKT kwa namna hii, unaona wazi kabisa kuwa hajuia kabisa ni nini kinaendelea huko kwingine!Mpuuzi wewe umetumwa na mafisadi wenzako kuharibu kanisa la MUNGU, Dr Shoo hanunuliki tulieni wapuuzi nyie