Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Agiza soda nitalipa

Sent from my TECNO-M3 using JamiiForums mobile app
 
kamba umelishwa ukameza.....
 
Wanasubiri mauwaji yatokee alfu kanisa lije kiombe radhi kama ilivyotokea uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Petro aliyesulubiwa miguu juu kichwa chini Na warom
 
Petro aliyesulubiwa miguu juu kichwa chini Na warom
Yes! Kwani Shida ipo wapi..?

The Roman Empire chini Kaisari Nero ililitesa Kanisa Katoliki mpaka pale Kaisari Konstantino alipofanya Ukristo kuwa dini Rasmi ya Dola


(There's big difference btn Roman Empire and Roman Catholic Church or Catholic Church)
 
Swali ni wapi kwenye bible Yesu ameanzisha Roman Catholic church na siyo Christianity Church?
 
Hata Tanzania kanisa hili lilimbana nyerere asiruhusu dini za walokole,na mashirika ya kidini zaidi ya BAKWATA,hata shida za wazanzibari nyingi chanzo ni hawa,wanahofia eti Zanzibar itaongeza nguvu ya kusambaa kwa uislamu tanzania bara

Wazungu wamegoma kusikiliza malalamiko mmehamia kwa kanisa katoliki?
 
Huyu wa sasa ni wakwetu.
Kanisa ni wanafiki
Msitishe watu mnadhani ikitokea hali mbaya ya kiusalama nyie mtapona kama ni noma itakua noma hata kwa hao mnaowaamin tena kwa taarifa ako ninyi ndo mtaanza kunyanyasika pamoja na familia zenu...yaana mnawaza tu siasa mtadhan ndo kila mtu anategemea kuendesha maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali ni wapi kwenye bible Yesu ameanzisha Roman Catholic church na siyo Christianity Church?
Swali la kipumbavu kabisa...

Baba Mtakatifu wa Kwanza ni Petro...Huyo Petro aliachiwa Kanisa na Yesu

Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
Swali la kipumbavu kabisa...

Baba Mtakatifu wa Kwanza ni Petro...Huyo Petro aliachiwa Kanisa na Yesu

Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Sijaona mahali pameandikwa Roman Catholic.Mwamba ngozi huvutia kwake.

Swali: "Kanisa ni nini?"

Jibu: Watu wengi siku hizi wanaelewa kanisa kumaanisha jengo. Neno “kanisa” maana ya asili yatoka kwa neno la Kiyunani ekklesia lili lo na maana ya “kusanyiko” au “walioitwa.” Maana ya asili ya “kanisa” sio ile ya jengo, bali ni watu.
 
subir mkatoliki amalize muda wake aje asiekuwa wao utawaona mishipa ya shingo inavyowatoka....sasa hv kila kitu kiko poa

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo suala la kusubiri,mngekuwa na akili za kujifunza tungewafundisha lakini Biblia katika Mithali ina mstari unaosema" hata ukimtwanga mpumbavu katika kinu pamoja na ngano upumbavu wake hautamtoka".JK mliimba Uislam na udini,JPM mnaimba Ukristo na Udini + ukabila,ukanda.

Hamfikirishi akili zenu kukabili yanayowasumbua,hamna jipya la kuwashawishi wapiga kura wawaamini zaidi ya CCM.Mnatafuta visingizio na namna ya kutugawa,hamtafanikiwa.

Nitakukumbusha wewe na mnaofanana nao akili kuthibitisha ninayoyaandika.Jikumbushe matusi mliyompa mzee Mwinyi alipoingia Mkapa.Fuatilia na jikumbushe madongo yaliyomkuta mama Anna Mkapa.Kila ghorofa jipya mjini tuliambiwa la kwake,leo yote yameyayuka.

Mkahamishia kila dongo kwa Ridhiwani kila ghorofa,kituo cha mafuta,gari zuri Ridhiawani,leo mmehamisha uwanja wa madongo.

Mmejaribu kwa Jesca,hachafuki,mkachungulia kwa Janeti hagusiki,mkakimbilia ukabila na ukanda tukawapuuza kama tulivyowapuuza mlivyozua njaa hewa.Hamuisemi tena njaa.Mnakuja na utoto ule ule kwa watu wale wale japo nyakati zinabadilka nyie hambadiliki.

Mtasubiri sana.
 
Nakupa mtihani wa Geography unajibu Biology
 
Kama kila siku anapiga magoti kubusu pete ya kadinali pengo unategemea kanisa litathubutu kumsema mwana wao mpendwa?

Tulia ni zam yao na wa kwao huyo.

Angekuwa ustadh yupo hapo magogon mbona kelele zake ungechoka?
hahahajhaa..kwa hiyo na leo jumapili ameshawasili kanisani kuibusu pete ya Pengo?
 
Maslah yao hayajaguswa
Af n wa kwao na wanammudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…