Kanisa katoliki linahitaji reforms

Kanisa katoliki linahitaji reforms

Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Ilikuaje wakateka viongozi wa kanisa
 
Sasa siasa Kali wamekataa mbwa asiingie msikitini,

Wale majirani wanadai eti huo ni ubaguzi wa wanyama!

Cc Tlaatlaah
 
Kanisa limejiingizakwenye siasa weeeee sasa limeshtuka ikiwa late

Kama ilivyokua Kwa magu na mkapa… Akija mkristu litapoa tena
Kama wewe sio mnafiki utakumbuka...sio Magufuli Hayati alilikasirikia kanisa mpaka akamsemq askofu wake sio raia?
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Anzisheni kabisa lenu mlipangie
 
Sijasoma ila wacha nicheke😄😄😄
 
Ataongea huko misikitini kwao.
 
Wamekasirika Padri Kitima kushambuliwa halafu hakuna cha uchunguzi wala taarifa ya tukio hilo kutoka kwa viongozi wa Serikali.
 
Catholic will never bow down to anyone!

Kanisa ni moja, takatifu, Katoliki la Mitume! Kanisa limesema, hakuna yeyote wa kupanua midomo
Huwezi shindana na kanisa katoliki,Roma lucuta causa finita.hiyo imekwisha hata mtanue midomo na huyo mama yenu, ambaye Yuko nyuma ya watekaji wote hamtafanikiwa siku zinahesabika wote tupo hapa tuweke akiba ya maneno,kumbuka Tanzania kuna watu wa aina mbili,wa kwanza wenye AKILI na wa pili wale wasio na akili ambao hata uwezo wa kujua hatari ktk Taifa hawana kwa sababu ni wadudu hivyo sio wanadamu ni chawa tu.
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Achana na hayo Mambo, kanisa linadumu kwa ajili UKALE (MAPOKEO)
 
Kazi ipo kama akili za watz ndo hizi
 
Bora tupate mkristu ajaye asiwe RC

ITALETA AMANI

Kwani nani anayekataza mkristu wa dhehebu lingine asiwe Rais?

Tunahangaika sana na mambo ambayo yametuzidi uwezo.

Hatuishi milele. Mwakani, mengi tunayoyaona ya maana leo, pengine yatakuwa tofauti.

Tanzania ni zaidi ya tunavyoiona. Tuache kujidanganya
 
The time is now

80% ya chokochoko Zina misosi ya udini

Kuna wachache wamejimilikisha rights
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
TEC nawaamini sana. Najua kuna milio mikubwa zaidi inakuja.
 
Back
Top Bottom