Kanisa katoliki linahitaji reforms

Kanisa katoliki linahitaji reforms

Kanisa litupe tu Muongozo sisi waumini tusishiriki huu uchaguzi unaokuja .Ili mimi nihalalishe kutokushiriki kwangu kikamilifu
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Basi tuseme amelengwa yeye, kwani analazimishwa kwenda huko kanisani? Tumekataa upumbavu wa wachache kulitumia Kanisa kama jukwaa la kuimbia mapambio ya mama mama mamaaaa!
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Ibirisi wa ccm acheni kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Chuki na roho mbaya ni asili ya Watanzania! Ona walioko serikalini, wanavyotumia vibaya nyadhifa zao kumkomoa, kutesa hata kuua Watanzania wenzao!
Kwa raisi anayekaa kimya kukiwa na wananchi wanashambuliwa, kutekwa, kuuawa, na siku hizi kulawitiwa na kubakwa, utataka akaribie kanisa? Hakuna kilichokuwa kikinikera kama alivyokuwa akifanya mwendazake makanisani. Kuanzia sasa, kama ambayo hutaki kukiri, hata rais amewazuia viongozi wa dini kutoongelea siasa katika nyumba za Ibada, hivyo kama ni zuio, basi kajizuia mwenyewe!
 
Ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kufikiri.

Black mnasumbuliwa na Crab mentality (Kaa katika ndoo)

Mnaiba
Mnauana
Mnatesana
Mnafanyiana hujuma

Then mkikosolewa mna react in negative way .
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.
Kanisa katoliki sio ushirika wa mwamposa na vibaka wa CCM
 
Kanisa limejiingizakwenye siasa weeeee sasa limeshtuka ikiwa late

Kama ilivyokua Kwa magu na mkapa… Akija mkristu litapoa tena
Katoliki sio kama waumini wa mla vitoto vya miaka 6 mzee! Hiyo ni ngome tena ngome haswaa iliyo sheheni kila kitu
 
Sahihi kabisa, Kitima akishavimbiwa sadaka anakuja kueneza chuki zake
 
wa ROMA ndyo kazi yao, wamezoea kutawala, wakiwa chini ya utawala wa KAISARI lazima walete fitina
  • Seeking Justice in the ICC: Holding Vatican Officials Responsible for Rape and Sexual Violence as Crimes Against Humanity (FAQ)​

  • While the Catholic Church does not actively seek to destabilize governments, its involvement in political affairs can sometimes lead to unintended consequences that impact political stability​

Sahihi kabisa
 
Kaongeleeni misikitini na kwa Mwambosa, hakuwatoshi??
unawezaje kwenda kufanya religious disobedience kanisani?? hapa JF ni mahala sahihi na salama kuhoji na kujadili dini 😀
 
Back
Top Bottom