Kanisa katoliki linahitaji reforms

Kanisa katoliki linahitaji reforms

Basi waendelee nayo tu

Maana kila rais akija muislamu kabisa linakua too vividly irritated

Waunde taifa lao basi

Nazungumzia haya nikiwa mkristu kamili
Hili ni Taifa la Mwenyezi Mungu lililoasisiwa na Mkatoliki.
 
Hapo hakuna kanisa, ni kundi la matapeli tu ili waishi vizuri hp duniani. Wakatoliki ht huyo Mungu wa kweli hawamjui. Ni wabaguzi, wenye chuki na makundi mengine ya jamii, askofu anajiona yuko juu ya Rais km huyo mkibosho wa hapo Dsm. Wana arrogance, egoism. Sahv kwa kuwa Rais ni muislam ndiyo maana wametoa huo uchafu wao. Mabwege tu hayo Samia mwenye ameshawagundua na amewapuuza, Rais wetu hahitaji kwenda kwenye hayo magenge yao wanayaita makanisa, hana haja. Hawana ht aibu walivyokuwa na upeo mdogo
Kanisa Moja,Takatifu na la Mitume.
 
Wa
Wakati wa Magu lilikuwa linaitwaje? Pengo hakumwita Magu chaguo la Mungu? Wapumbavu nyie kaeni na ubaguzi wenu. Watu wenyewe wanajiita wafuasi wa Roma km siyo mazuzu ni nini? Nyie bado ni koloni la mroma
Pengo alikuwa mshabiki tu wa Magu na hakuwa mshabiki wa Watanzania.
 
Huyo unaesema wanamchukia, mbona jana walikuwa nae kwenye sherehe za msimu wa mavuno huko mwanza?

Au Askofu wa Mwanza sio mkatoliki?
Au unahisi hakuwepo kwenye mkutano wa kuandaa andiko lililotolewa?

Shida yetu kubwa, hatujajijenga katika pande zote mbili, kwamba kuna wakati wa kuambiwa ukweli, lakini kuna wakati ambao lazima ukubali kuambiwa pale unapokosea.

Na kama kiongozi, kama huutaki kuambiwa ukweli, unaweza kusikiliza na kupuuzia, wala hakuna atakae kuuliza, lakini kukasirika na kumwadhibu anaekwambia ukweli hilo ndio tatizo.
 
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao.

Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi wasipewe nafasi za kuongea ibadani umemlenga Mama yetu kipenzi ila sisi tumeamua kuwajibu RC kwa kuwataka waache unafiki. Kwenye awamu ya 5 tuliona mkatoliki mwenzao akiongea karibu kila jumapili kanisani ila kwa sasa sijui kuna kitu gani wamegundua zaidi ya chuki za kijinga.

Tunajua misiba ya matajiri wa kikatoliki huhudhuriwa na maaskofu ila akifa maskini hata katekista anaweza asiendeshe ibada na kuwekwa mizengwe kuwa marehemu alikuwa hahudhurii jumuiya na kutoa zaka. RC acheni ubaguzi. Onyesheni upendo kwa watu wote.


Kwanini kanisa linahitaji reforms na sio viongozi ambao wanapoulizwa kwanini watu wanapotea wanaona wanadhalilishwa?

Reforms ya kanisa Katoliki? Unajua maana yake nini?

Akili zako ndio zonavyokutuma? Let's start with reforming normal issues kama CDM walivyoomba.

Tukimaliza, turukie kanisa Katoliki
 
Well tofauti ni kwamba catholic walikuja muwekea ngumu hadi akamind na kuwawekea vinyongo, ali atempt kutaka kuwajengea kanisa karib na kwake
Wakachomoa

Siku zake za mwisho alishuka na walikuja kumuombea
Ni kweli Detective J , Kanisa katoliki lina taratibu zake ktk ujenzi wa makanisa na wana utaratibu wa madhabahu yao mfano sacrament etc ambazo ni utaratibu uko sawa dunia nzima. Kosa la Dkt Magufuli halina tofauti na la Membe kule Lindi (wote actually walikufa vifo vya ajabu visivyo vya kawaida kisa kuhombana na kanisa). Wote hawa walijenga makanisa bila kufuata taratibu. Mfano Dkt Magufuli yeye aliamrisha kanisa litumike na madhehebu yote (ni kosa), Katoliki wana madhabahu yao haipaswi kuingiliwa! Badala ya kuwa mpole Dkt Magufuli akashupaza shingo na kuanza kuwashughulikia Katoliki kwa kuwabambika kodi kubwa sana kwenye miradi yao, na hata pale walipoomba waonane naye wamuombe msamaha pale walipomkosea hakuwapa nafasi kabisa tena aliwasharau na kuwadhihaki kana kwamba yeye ndiye Mungu, akaenda mbali zaidi na kuanza kuwashughulikia mmoja mmoja kwa kuwagawanya, akasema yule Askofu wa jimboni kwake siyo mtanzania hahaha. Ila yote na yote vita na kanisa mwisho wake ni mbaya. Hivyo hata huyu Dkt Samia aliyeamrisha kwenda kumuua Dkt Kitima probably kama siyo kifo labda aende aombe msamaha otherwise karma ya kanisa ni mbaya sana na hutia kiburi.
 
Roman Catholic wana nguvu sana, mmeshindwa kupeleka polisi wakafukuze waumini makanisani mmeanza kujiliza. Nendeni kwenye makanisa yao mkafunge utepe tuone pumbaf nyie
 
Eti "mama yetu kipenzi"

Labda kipenzi cha mzee Hafidh na Abdul .

Nenda uiambie familia ya mzee Ali Kibao au Soka hii kauli uone kama utarudi salama.
 
Kumbuka tu Maaskofu wote wa RC pamoja na Katibu wao Mtendaji wa TEC ni PhD holder! Sasa kama unafikiri wamekurupuka! Basi utakuwa umekosea sana. Binafsi nawaunga mkono kwa 💯%
Maaskofu na mapadri waliohusika na Rwanda genocide walikuwa darasa la 7?
 
Hapo hakuna kanisa, ni kundi la matapeli tu ili waishi vizuri hp duniani. Wakatoliki ht huyo Mungu wa kweli hawamjui. Ni wabaguzi, wenye chuki na makundi mengine ya jamii, askofu anajiona yuko juu ya Rais km huyo mkibosho wa hapo Dsm. Wana arrogance, egoism. Sahv kwa kuwa Rais ni muislam ndiyo maana wametoa huo uchafu wao. Mabwege tu hayo Samia mwenye ameshawagundua na amewapuuza, Rais wetu hahitaji kwenda kwenye hayo magenge yao wanayaita makanisa, hana haja. Hawana ht aibu walivyokuwa na upeo mdogo
Sema umepaniki sana kunywa maji
 
Back
Top Bottom