Nina hakika wewe ni mwongo. Kanisa halijawahi kuwa na chuki na Samia kiasi eti cha kuweka utaratibu wa kuzuia wanasiasa kuongea madhabahuni. Kwanza Rais Samia sijawahi kusikia ikiongea kwenye mimbari ya Kanisa.
Kanisa halijawahi kuwa na chuki na Samia, bali lina chuki na ushetani unaofanywa dhidi ya Watanzania.
Kikwete aliyeambiwa na askofu wa Dar kuwa eti ni chaguo la Mungu, alikuwa wa dini gani?
Magufuli aliyeandikiwa waraka mkali kuhusu vitendo vya dhuluma, alikuwa wa dini gani? Mafundisho ya upendo wa Kristo ndiyo yanawafanya wakristo kutowafanyia lolote baya wa imani tofauti. Waislam wanaweza kuwa 10 tu wakaenda nchi waliyojaa wakristo, wakajenga msikiti wao na wakaabudu bila shida, tofauti kabisa na wakristo wachache waende kwenye nchi yenye waislam wengi.