Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,488
- 16,646
Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli.
Kwa mara nyengine mafunzo ya kanisa katoliki yanaelekea kuvurugwa na mafunzo ya kiyahudi na huenda ikawa ndio mkorogo wa moja kwa moja kwani kadinali anayepewa nafasi kubwa kushinda upapa amekulia kwenye mazingira ya mayahudi na ni rafiki mkubwa wa raisi wa sasa wa Israel Isaac Herzog.
Kardinali Pierbattista Pizzaballa aliyezaliwa mwaka 1965 misimamo yake kuhusiana na masuala mengi ya kimataifa ni tofauti na papa Francis ambaye alifariki wiki mbili zilizopita.Sifa yake nyengine ni mtaalamu mkubwa wa lugha ya kiyahudi.
Kwa mfano Papa Francis mpaka anakufa alikuwa akiwahurumia sana wananchi wa Palestina na hasa Gaza.Kwa upande wake kardinali Pizzaballa mwaka 2023 aliwafurahisha sana viongozi wa Israel pale aliposema alitaka yeye achukue nafasi ya waliotekwa na Hamas ili mateka waachiwe.
Mbali na misimamo yake hiyo inayowapendelea mayahudi kardinali huyo hata mavazi yake na mitindo ya nywele yamefanana sana na mavazi ya yanayopendelewa na vijana wa cowash wa Marekani pamoja na rais Trump.
The conclave will select the new Pope in Rome for the world’s more than 1 billion Catholics on Wednesday.
The Jesuit Pope Francis made Pizzaballa a cardinal in September 2023. The following month, Hamas terrorists invaded Israel, slaughtered more than 1,200 people and took more than 250 people hostage. Just a few weeks later, Pizzaballa declared he would offer himself as a hostage to the jihad terrorist movement Hamas in the Gaza Strip in exchange for the release of children kidnapped by the radical Islamists.
Source: Yahoo News
Kwa mara nyengine mafunzo ya kanisa katoliki yanaelekea kuvurugwa na mafunzo ya kiyahudi na huenda ikawa ndio mkorogo wa moja kwa moja kwani kadinali anayepewa nafasi kubwa kushinda upapa amekulia kwenye mazingira ya mayahudi na ni rafiki mkubwa wa raisi wa sasa wa Israel Isaac Herzog.
Kardinali Pierbattista Pizzaballa aliyezaliwa mwaka 1965 misimamo yake kuhusiana na masuala mengi ya kimataifa ni tofauti na papa Francis ambaye alifariki wiki mbili zilizopita.Sifa yake nyengine ni mtaalamu mkubwa wa lugha ya kiyahudi.
Kwa mfano Papa Francis mpaka anakufa alikuwa akiwahurumia sana wananchi wa Palestina na hasa Gaza.Kwa upande wake kardinali Pizzaballa mwaka 2023 aliwafurahisha sana viongozi wa Israel pale aliposema alitaka yeye achukue nafasi ya waliotekwa na Hamas ili mateka waachiwe.
Mbali na misimamo yake hiyo inayowapendelea mayahudi kardinali huyo hata mavazi yake na mitindo ya nywele yamefanana sana na mavazi ya yanayopendelewa na vijana wa cowash wa Marekani pamoja na rais Trump.
The Franciscan Cardinal Pierbattista Pizzaballa, who has served as the Latin patriarch of Jerusalem since 2020, has emerged as one of the top candidates to succeed the late Pope Francis.The conclave will select the new Pope in Rome for the world’s more than 1 billion Catholics on Wednesday.