Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
umeingia kanisani ukakuta uongozi na usimamizi wa huduma zote kanisania ni kama ifuatavyo:-
Maombi yanahitajika kwa watu hawa....
- Paroko/Pastor - Bishanga
- Msaidizi wake - Asprin
- Mwenyekiti wa usharika - Dark City (a.k.a babu dc)
- Mwenyekiti Msaidizi- platozoom
- Katibu wa usharika - Kongosho
- Msaidizi wake - Erotica
- Mweka hazina -@lizzy
- msaidizi wake - Erickb52
- mhubiri wa siku hiyo- nitonye
- wasoma masomo siku hiyo - charminglady na CUTE
- wasimamizi wa sadaka - Nicas Mtei na sweetlady
- wasimamizi wa mlangoni - Cantalisia na BAGAH
- wazee wa kanisa - Mamdenyi na Madame B
- wafagiaji wa kanisa - Amyner, Remmy na Mtalingolo
- msoma matangazo ni Preta na Zinduna
- Padre/Pastor mualikwa The Boss
- kwaya master Paw
- mpiga kinanda Invisible
- mpiga gitaa Mphamvu
- mpiga kengele FirstLady1
- sauti ya kwanza Smile, TaiJike, na King'asti
- sauti ya pili Angel Nylon, angel msofe na Flora msofe
- sauti ya tatu na ya nne pamoja na waumini wengine wa hilo kanisa naomba mnisaidie kumalizia
Maombi yanahitajika kwa watu hawa....
Last edited by a moderator: