Kanisa hilo ..... Eeee MUngu awasaidie

naomba nitoe ushuhuda baada ya somo na mahubiri ya charmingLady mwisho wa ibada.
 

msaidizi Asprin??????
usikute kadinali ni klorokwini?
loh.....waumini wamekwisha.....
Mpenzi wangu BADILI TABIA una mashaka na mimi? Umesahau nlivokupa upako siku ile umezaliwa mara ya pili?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Wale wenzetu wataandamana kisa jf inaleta mada za Kigalatia mi sipo , wale jamaa wapo sensitive kweli.
 
sina hofu wala mashaka bebii...
naahidi kukaa benchi la kwanza kila siku...nipate upako wote hadi wa nyongeza....
Thats my girl....

Hivi haka kandude ka njano bado unako au nikakununulie kengine? Hivi unaikumbuka hii siku lakini? Wenye wivu wameze viwembe, sie twasonga mbele...
candy-california.jpg
 
Back
Top Bottom