Kanisa hilo ..... Eeee MUngu awasaidie

Hao masupa mods hata siwaogopi, nahofia sadaka tu zitakapoishia.....

Huku paroko na msaidizi wakiacha mbegu kila nyumba ya muumini,

mtakomaje waumini....


Toka mwanzo ungekuwa unaongea hivi ningekuandalia zawadi....!!

Tatizo lako umeanza kwa kuwachafua watu wote kwenye list bila kujali kwamba wengine ndio akina Super Mods!!

Shauri lako??

Babu DC!!
 
loh....
Hilo la kuomba msamaha gumu sana aisee...



Wewe BADILI TABIA, wewe?

Nani alikwambia handaki ni kinga imara? Umewasahau akina Sadam Hussein na Lauren Bagbo walivyookotwa kwenye mashimo kama kuku anayeumwa mdondo?

Face it....omba msamaha yaishe!!

Babu DC!!
 
Maombi gani jamani ya kuongozwa na Boflo? Labda CUTE ana kasura ka utakatifu
Ronn M hahaha thanx!
ila maombi yasingeenda mana waombewa wasingesikiliza wangekua wananishangaa 2....mana washangaaji weng cku izi mana misa ikimalizika2 utawasikia ulikaona kale kapili kutoka mwisho...kazurijeee
 
Maombi gani jamani ya kuongozwa na Boflo? Labda CUTE ana kasura ka utakatifu

....kama ka-mzee wa Kanisa mwenyewe hapa Madame B.
Ila napenda niwe natatua ndoa za waumini wangu..!!
Waumini wote wa jinsia tofauti maombi ya utatuzi yatafanyika nyumbani kwetu na Mzee mwenzangu,nyote msumbuliwao na wake zenu,
Mnakaribishwa kwa maombezi.
 
Last edited by a moderator:
Wale wote wenye shida ya kupata waume na kupata watoto nitakuwa nawafanyia maombi, ukitaka mume mzuri, mwenye

pesa, au mtoto mzuri lazima ulipe sadaka nyingi tena kwa mfumo wa Dollari
 
mh,nashukuru Smiling Saint kwa kunipa cheo cha kusoma somo. tena somo la cku hyo litakuwa km ifuatavo. . . wote wenye mapepo ya nyumba ndogo na viserenget boy hawataruhusiwa kuingia kanisan mpk wakaungame kwa padre mtajwa na wawataje hao nyumba ndogo wao na viserenget boy vyao ndio wataruhusiwa kuendelea na ibada! TUMSIFU YEYE . . . . wote tuseme MILELE AMINAAAAAA
 
Last edited by a moderator:
mie naona amechanganya kande, uji, nyama, maembe, mayonaise, pilipili, bia, kitimoto, na samaki kwenye sufuria moja akaanza kupika

Ndugu yangu Smiling Saint

Hilo kanisa lako litakuwa linamwabudu Mungu yupi? Kwani naona umechanganya machungwa, malimao, ndimu na chenza kwenye kapu moja....Are they the same?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
LOL...Kwaya tena sauti ya kwanza, na wachumba wangapi vile @Smilling Saint
 
Back
Top Bottom