Kanisa hilo ..... Eeee MUngu awasaidie

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
umeingia kanisani ukakuta uongozi na usimamizi wa huduma zote kanisania ni kama ifuatavyo:-

  1. Paroko/Pastor - Bishanga
  2. Msaidizi wake - Asprin
  3. Mwenyekiti wa usharika - Dark City (a.k.a babu dc)
  4. Mwenyekiti Msaidizi- platozoom
  5. Katibu wa usharika - Kongosho
  6. Msaidizi wake - Erotica
  7. Mweka hazina -@lizzy
  8. msaidizi wake - Erickb52
  9. mhubiri wa siku hiyo- nitonye
  10. wasoma masomo siku hiyo - charminglady na CUTE
  11. wasimamizi wa sadaka - Nicas Mtei na sweetlady
  12. wasimamizi wa mlangoni - Cantalisia na BAGAH
  13. wazee wa kanisa - Mamdenyi na Madame B
  14. wafagiaji wa kanisa - Amyner, Remmy na Mtalingolo
  15. msoma matangazo ni Preta na Zinduna
  16. Padre/Pastor mualikwa The Boss
  17. kwaya master Paw
  18. mpiga kinanda Invisible
  19. mpiga gitaa Mphamvu
  20. mpiga kengele FirstLady1
  21. sauti ya kwanza Smile, TaiJike, na King'asti
  22. sauti ya pili Angel Nylon, angel msofe na Flora msofe
  23. sauti ya tatu na ya nne pamoja na waumini wengine wa hilo kanisa naomba mnisaidie kumalizia

Maombi yanahitajika kwa watu hawa....
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Smiling Saint

Hilo kanisa lako litakuwa linamwabudu Mungu yupi? Kwani naona umechanganya machungwa, malimao, ndimu na chenza kwenye kapu moja....Are they the same?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom