Jamani wadau uuuuuh, leo ndo nimegundua majungu kazini yanatisha.
Watu wana wivu wa mambo ya kitoto jamani, hapa nimekwazwa na bosi pamoja na wafanyakazi wengine, siku yangu imeharibika kabisa. Nimepandwa na ghadhabu yaani mpaka sina hamu. Nashindwa hata kushika kitu chochote, nisaidieni jamani nifanyeje hapa at least nirudi kwenye mood?
Sinywi pombe wala sivuti sigara, sasa hata sijui niende wapi,