EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,187
- 20,640
Aisee nitakuona bonge la bwege ukianza kulialia ili uruduwe na huyo bitch asiyejitambua
Ngoja nimsaidie kujibu nlitaka kusema possibly yes lakin ngoja niende na probably yes sababu the gen pop of women act indifferent and most of the time apathy...Unahisi demu wako ni mmoja kati yetu humu?
Sawa mkuuHahahaha,kwa uandishi wako unaonekana we ni mjinga mjinga kiasi 😄
Asante chiefPOLE
you are correct..Unatetea upuuzi, jamaa kasema hapo kwamba hana kazi (saa 7 mchana anafanya nini baa? Alikuwa anadanga?)
Hata kama mishe zako Ulinzi usiku kama unashindaa Baa saa 7 mchana then you're a loser aka lofa
Ni nadra kukutana mtu mwenye ratiba ya kipuuzi hivyo akafanya vya msingi maishani
Hahahaha😀😀😀Mzee unakula gambe, pisi za nini??
We funga ndoa na safari lager, hutojuta.
Hata mie nashangaa hapo.Hivi mbona bar mchana zinajaza na watu hawakamatwi? Au wanaangalia eneo na eneo?
kuna bar na bar mkuu...Hata mie nashangaa hapo.
Bas sawaakuna bar na bar mkuu...
Afu eti walifungwa mashati 😁😁😁Kesi za uzembe na uzururajini kesi za aibu sana
Ahahah..sasa mlishafikia kote huko??Chuma 🔫.... kwenye papasa papasa aliiona bhna akajua mi jambazi😂😂😂
Ahahahah kwann chief. Huoni pia kama ni kesi za uonezi pia maana wanaweza tu kukudaka ikiwa kwenye harakat zako kama maeneo yanakua sio!!Kesi za uzembe na uzururajini kesi za aibu sana
Haijawahi nitoka moyoni 😂😂😂Ahahah..sasa mlishafikia kote huko??
Un-expectations brother..sasa na wewe kovu la chuma ulikutana nalo wap Bob!??Haijawahi nitoka moyoni 😂😂😂
ChaiWakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?