Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,894
- 31,684
Ni sawa na kuuliza mbona kuna bar zinakesha mpaka asubuhi na watu hawakamatwi lakini wengine wanakamatwaHivi mbona bar mchana zinajaza na watu hawakamatwi? Au wanaangalia eneo na eneo?
Ni sawa na kuuliza mbona kuna bar zinakesha mpaka asubuhi na watu hawakamatwi lakini wengine wanakamatwaHivi mbona bar mchana zinajaza na watu hawakamatwi? Au wanaangalia eneo na eneo?
Kitambo sana haukomenti wa kwanzaSHUKURU MUNGU UMETOLEWA NUKSI
Ni kweli unaloongea, kwa bahati mbaya as I get older nimechoka kuwa nice aseekimbiza mbuzi kimya kimya ,,choma dawa kimya kimya imuingie kimya kimya
Let me guess..... How is your life at the moment?Na ukiniita loser nacheka tu, kwasababu watu mnaofanyakazi 9 to 5 Dar es salaam mna maisha magumu sana kuliko mpiga debe. Kwahiyo nikinywa bia asubuhi ujue sina boss kama wewe
Asiyejitambua? Hiyo mwanamke kakwepa risasi aseeAisee nitakuona bonge la bwege ukianza kulialia ili uruduwe na huyo bitch asiyejitambua
Huyu kakamatwa kwa kushukuwa ujambazi, hana kazi na rundo la safari limejaa mezani. Huyo madam ana akili zakeHivi mbona bar mchana zinajaza na watu hawakamatwi? Au wanaangalia eneo na eneo?
Let me guess..... How is your life at the moment?
Are you a well rounded individual au bado unashinda baa na Marafiki mchana?
Fact.Achana nae huyo alikuwa anakutaftia sababu, kuna mambo kwenye maisha yanatokeaga kama ajali hayana taarifa.
Wakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?