Kaniacha kisa jana nimelala lock up.

Kaniacha kisa jana nimelala lock up.

Wakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?
Unahisi demu wako ni mmoja kati yetu humu?
 
Acha unoko, Dar es salaam watu wangapi wanategemea kazi za 9 to 5?
Kila mtu anapiga mishe zake tu, haya mambo ya kupangiana maisha hukohuko vijijini
Unatetea upuuzi, jamaa kasema hapo kwamba hana kazi (saa 7 mchana anafanya nini baa? Alikuwa anadanga?)
Hata kama mishe zako Ulinzi usiku kama unashindaa Baa saa 7 mchana then you're a loser aka lofa
Ni nadra kukutana mtu mwenye ratiba ya kipuuzi hivyo akafanya vya msingi maishani
 
Mi kuishi nyumba Moja na mlevi siwezi asilani, sembuse chumba kimoja?! Mmmh hapana
 
Unatetea upuuzi, jamaa kasema hapo kwamba hana kazi (saa 7 mchana anafanya nini baa? Alikuwa anadanga?)
Hata kama mishe zako Ulinzi usiku kama unashindaa Baa saa 7 mchana then you're a loser aka lofa
Ni nadra kukutana mtu mwenye ratiba ya kipuuzi hivyo akafanya vya msingi maishani

Mimi nimezaliwa Dar, sasa nimehama, lakini maisha yangu ya jijini yalikuwa hivyo. Dar es salaam sikuwahi kuajiliwa au kuwa na leseni ya biashara, saa 4 asubuhi nilikuwa bar napiga supu nashushia na 2 za kuondoa hangover. Na hii ilikuwa ratiba ya kila siku.
Na ukiniita loser nacheka tu, kwasababu watu mnaofanyakazi 9 to 5 Dar es salaam mna maisha magumu sana kuliko mpiga debe. Kwahiyo nikinywa bia asubuhi ujue sina boss kama wewe
 
Wakuu
Chemistry ya wanawake inanishangaza sana.
Well saivi me ni jobless tu niko kitaa naunga unga maisha baada ya kuzinguana na aliyekua mwajiri wangu.
Sasa jana mtaani kwetu sikujua kama kulikua na operation ya police kukamata wazururaji na watu wanaokunywa pombe muda wa kazi.
Me kwenye saa 7 hivi mchana nikawa bar flani napiga safari lager zangu.mara nikaona raia wanatoka nduki sijakaa sawa police hao wakaniweka chini ya ulinzi tukafungwa mashati tukapakizwa kwenye cruza yao mpaka kituo cha police golani tukapewa mashtaka ya uzembe na uzururaji tukapigwa lock up.nikampigia the so called baby wangu aje anitoe au aniletee msosi akapotezea akasema nitajijua mwenyewe huko.
Basi asubuhi ya leo nikawacheck washkaji zangu flani wakaja pale wakanitoa lockup.
Mwanamke kasikia nimetoka ndani kanitumia ujumbe kuwa mimi na yeye basi hanitaki tena eti namtia aibu.
Ni sahihi wakuu?
Hii mada Inachekesha 😂
 
Pambana tafuta kazi Acha ulevi na uzembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom