Kangi Lugola atwanga mtu ngumi

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
96,927
Likes
110,152
Points
280

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
96,927 110,152 280
Ni mgombea mwenzie ktk ccm ambaye alipata taarifa kwamba anamchafua ndipo bwana kangi akaamua kumuwinda na kumshushia vitasa vya kutosha.
Mwaka huu tutaona mengi!
Naona ni fasheni mpya sasa vitasa kwa kwenda mbele
1.Wassira-(wahasira)
2.Ndugai-(ndugu why/ndugu ai wewe)
3.kangi lugola-(kaanga ugolo)
4....?
 

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5,039
Likes
1,315
Points
280

nguvu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
5,039 1,315 280
Naona ni fasheni mpya sasa vitasa kwa kwenda mbele
1.Wassira-(wahasira)
2.Ndugai-(ndugu why/ndugu ai wewe)
3.kangi lugola-(kaanga ugolo)
4....?
4. Ni aeshi Hilary wa sumbawanga kamtia mwenzie vitasa vya kutosha tu kisa kaambiwa hajasoma. Kisabwite nae mambo ni yaleyale
 

Forum statistics

Threads 1,203,562
Members 456,824
Posts 28,118,771