Kangi Lugola anafaa kuwa mwenyekiti mpya wa parol

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Kwa kuwa aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani hii nafasi itamfaa maana anajua baadhivya siri kwenye vyombo hivi vya ulinzi na usalama wa raia

Namwomba mama asimwache huyu mh kwani pamoja na zile comedy zake lakini ni mchapa kazi mzuri anafaa!!
Magufuli jembeee sii jembeee!!!
 
images (4).jpeg

Ila tuache utani mwenye contact ya hii manzi ilicheza na Lugola anipe tafadhali
 
Kwa kuwa aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani hii nafasi itamfaa maana anajua baadhivya siri kwenye vyombo hivi vya ulinzi na usalama wa raia

Namwomba mama asimwache huyu mh kwani pamoja na zile comedy zake lakini ni mchapa kazi mzuri anafaa!!
Magufuli jembeee sii jembeee!!!
We we we temea mate chini. Sio mwaminifu kabisa huyo. Kama mnamtaka Sana mpelekeni chamudata.
 
Hakuna vijana walioelimika? Ccm tawala milele, watu hawajielewi!
 
Kwa kuwa aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani hii nafasi itamfaa maana anajua baadhivya siri kwenye vyombo hivi vya ulinzi na usalama wa raia

Namwomba mama asimwache huyu mh kwani pamoja na zile comedy zake lakini ni mchapa kazi mzuri anafaa!!
Magufuli jembeee sii jembeee!!!
Naungana na wewe kuhusu wazo lako anafaa.
 
Kwa kuwa aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani hii nafasi itamfaa maana anajua baadhivya siri kwenye vyombo hivi vya ulinzi na usalama wa raia

Namwomba mama asimwache huyu mh kwani pamoja na zile comedy zake lakini ni mchapa kazi mzuri anafaa!!
Magufuli jembeee sii jembeee!!!
Atakuwa ni BABA YAKO
 
Yule akili yake haiko sawa anakemea mikorosho
 
Back
Top Bottom