wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,714
- 26,843
Kwa kuwa aliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani hii nafasi itamfaa maana anajua baadhivya siri kwenye vyombo hivi vya ulinzi na usalama wa raia
Namwomba mama asimwache huyu mh kwani pamoja na zile comedy zake lakini ni mchapa kazi mzuri anafaa!!
Magufuli jembeee sii jembeee!!!
Namwomba mama asimwache huyu mh kwani pamoja na zile comedy zake lakini ni mchapa kazi mzuri anafaa!!
Magufuli jembeee sii jembeee!!!