Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Kama kweli una hamu ya kuyafahamu hayuo mambo Mwaya kwa nini ususbiri mume akupeleke? Na, huyo mume wako ni muaminifu kweli? Mana unaonyesha hofu kubwa juu yake
ni kanga moja ndembe ndembe sio mbwende mbwende
ni kanga moja ndembe ndembe sio mbwende mbwende
Ukitaka kuanza tabia ya kumpa mme wako tigo,,nenda kajifunze huo uhuni.
Wala huna haja ya kwenda continental club, haya mambo unawezafanya mwenyewe hapo nyumbani ukiwa na mumeo faragha ukamuhamasisha mwenyewe, ya nini kwenda kuangalia vitu ambavyo unaviweza mwenyewe na huenda unavifanya kila siku? Labda kama wewe "BETINA" na siyo "ZENA"
Ukitaka kuanza tabia ya kumpa mme wako tigo,,nenda kajifunze huo uhuni.
Dada hawa Kanga moko(sio moja) wanapatikana Continental hotel-mjini kila jumatano na jumanne wanakuwepo Masai club-karibu na Mango garden. Show yao inaanza saa 7 usiku.Usitishwe na mtu hayo mambo ya Tigo ni tabia ya mtu nenda uone wenzako wanavyokatika ili uboreshe kwako. Usiwe na wasiwasi nenda na mumeo hata wengine huja nao,si uko pembeni abiria ukichunga mzigo wako ?
saaa 7 kweli haya mambo ni wito haaaaa!Dada hawa Kanga moko(sio moja) wanapatikana Continental hotel-mjini kila jumatano na jumanne wanakuwepo Masai club-karibu na Mango garden. Show yao inaanza saa 7 usiku.Usitishwe na mtu hayo mambo ya Tigo ni tabia ya mtu nenda uone wenzako wanavyokatika ili uboreshe kwako. Usiwe na wasiwasi nenda na mumeo hata wengine huja nao,si uko pembeni abiria ukichunga mzigo wako ?
Mbona hukusema toka mwanzo mumemsumbua dada wa watu toka saa nne mpaka kaondoka zake maskini.Aseeee!
Makalio yaliovalishwa kanga moko ilolowa, makalio ambayo hayajavalishwa chupi.
Makalio yanayoonyesha ushirikiano na kiuno.
Jamani wana JF labda mimi ni mshamba sana. Nimekuwa nasona, nasikia na kuona matangazo ya Khanga moja! Ni kitu cha namna gani? Natamani sana kumwomba mume wangu anipoeleke maana nasikia wako based pale continental lakini nahisi balaa! mwanamke mwenye khanga moja iliyoloa ndembe ndembe, mume wangu nitarudi naye kweli?
Kingine, watanzania tumekuwa na tabia ya kulinda maadili.... swala la khanga moja linanitisha... naomba mnijuze.