Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,242
- Thread starter
- #21
inategemeana na kazi ambayo unafanya, kama ni White color, Blue color au Grease color!!Kigarama, ili kuepuka kunuka miguu (ambayo inasababishwa na fungus). Ofcoz kushare malapa inachangia kiasi kikubwa.
1 usivae pair moja ya kiatu siku mbili mfululizo, kusudi zipate kukauka jasho na kuua fungus if any
2 vaa viatu vya ngozi, achana na mchina lol
3 vaa socks safi kila sikui, na zikifuliwa zianikwe juani kama inawezekana
4 hakikisha unasafisha miguu na brashi laini na sabuni na kuikausha hasa kati kati ya vidole
Note, ukivua socks usizisokomeze ndani ya viatu, unajenga mtambo wa fungus!