Ikengya
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 614
- 179
Makomeo yeye nikimsikia aongei mikakati aliyo bali kila saa kulalama na failure za utawala uliopita akishindwa kuonesha atakavyofanya atakavyotoka.
Ila watanzania nawaomba acheni kuendekeza ukabira utakuja kutesa wanyonge ambao ndo wengi nchi hii. Kwenye siasa ongea sera na si kabira, ukanda wala dini vikiwageuka siku moja mtaja kujuta. Nimekuwa nikifuatilia chaguzi zote zilizofuata baada ya kifo cha mwl zimejaa mizengwe ya udini, ukabira na kuzushiana na haya huwa yanaibuliwa na chama kinachosema kinauzoefu wa kuongoza. Mimi huwa najiuliza aina ya huu uzoefu