Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Mwacheni kisha lewa kasumba ya CCM, hajitambui.
 
Wakazi wa Kanda ya Ziwa tunakumbuka sana juhudi za Edward Lowassa alivyofanikisha kutuletea maji kutoka ziwa Victoria baada ya kilio cha muda mrefu, tutatoa shukrani zetu kwake tarehe 25 Oktoba.

Ziara yake ukanda huu yatakua mafuriko zaidi ya Dar,Karibu shujaa wetu.

Ulilembagula wa nywano ebe. Tuleka kuntemya mnhnu wa kukaya tutemya mibi ubese. Mnyelile. Lindagi duhu tumlye tambu. Mkokumya neyo. Mlehaya amasukuma gatale galalile anguuu. Gamishije kale noili. Magufuri ndo Rais wa nchi hii na Kanda ya ziwa si vilaza japo hawana maneno mengi. Kwetu huwa hatubishani ila tukitofautiana tu ulya nhonde. Usihadae watu. Hizo ni propaganda msinzio.
 
Onywanebe!! Ugunchagula u munhu win'gwe umu jijinjemu na ba ha ng'wako; u biswe basuguma abasala biya!!
 
Back
Top Bottom