Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Watu wa Biharamlo itabidi atueleze kwanza barabara inayotoka Mwanza kuja B'mlo ilitakiwaijengwe kwa kiwango cha lami mpaka Biharamlo mjini ilipofika eneo la jimbo lake akachepusha na kupeleka jimboni kwake Chato na kuacha watu wa Biharamlo tukiendelea kupigwa na vumbi.

Je mtu mbinafsi na mubaguzi kiasi hiki anafaa kuwa Rais?huduma zote za kimaendeleo zinazohusu nchi si atakuwa ana zipeleka chumbani kwake na mke wake.

Na huyo utakae mchagua atakua anapeleka huko kaskazini we hato kujali kwa chochote
 
magufuli si msukuma, ila ni mzinza..Kanda ya ziwa tumeshtuka. hatumchagui chifu bali rais. na rais ni lowassa na wabunge wa ukawa.
 
Natokea kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera. Jina Magufuli kwetu ni jinamizi. Wavuvi waliokuwa wanaishi kutegemea uvuvi wa kijadi wamepigwa marufuku ziwani na mitumbwi yao kuvunjwa vunjwa na nyavu zao kuchomwa moto kwa amri ya huyu bwana - hivyo tunajitayarisha kumkata kwa kikatio kwenye sanduku la kura.

Jirani zetu Biharamulo wanalia hadi leo na barabara ya vumbi, ile lami iliyokuwa imekusudiwa ijenge barabara ile aliipeleka kule kwao Chato ambako hakuna magari mengi kama kule kwingine, nao wanamsubiri kwenye sanduku la kura.

Ujinga wa kuhonga kanga na kofia kwetu vimepitwa na wakati, subirini muone baada ya 25 Oktoba.
 
Watu wa kanda ya kaskazini mkimchagua lowasa mtakuwa mmerogwa
 
Kuna ziwa huko simiyu? watu wa kagera,mza,mara na geita ndo wamelengwa bwana,huyu wa simiyu hajitambui

kanda ya ziwa; madiwani na wabunge - mtashare na ccm na ukawa na ACT

LAKINI URAISI- MTOTO WAKO MWENYEWE UMKATAE ; UMERONGWA.

PESA LETENI ;

URASI MAGUFURI

SIO HIVYO TU; KANDA WA ZIWA KWA MARA YA KWANZA WABUNGE WOTE WATAKUWA WA CCM

DALILI ZINAVYOONESHA .

BIHARAMULO- CCM
ILEMELE - CCM

NYAMAGANA 50/50

MUSOMA = CCM

UKEREWE -CCM

BARIADI - CCM
 
Siasa za "ukanda" zimeanza. Hivi hawa UKAWA wana akili kweli vichwani mwao??? Leo hii ni mwaka 2015 anatokea mtu anatuambia kuhusu "ukanda"?? Mpumbavu kabisa huyu mshenzi aliyeanzisha hii thread. Mpumbavu kabisa tena hana akili kichwani. Anataka kuwagawa Watanzania kwa sababu za ukanda?? Hana adabu!
 
JIMBO LA.MISSUNGWI LOWASSA AKIPATA 20% nahamia MONDULI... KWIMBA akipata 30% nahamia MOSHI
 
  • Thanks
Reactions: nao
Watu wa Biharamlo itabidi atueleze kwanza barabara inayotoka Mwanza kuja B'mlo ilitakiwaijengwe kwa kiwango cha lami mpaka Biharamlo mjini ilipofika eneo la jimbo lake akachepusha na kupeleka jimboni kwake Chato na kuacha watu wa Biharamlo tukiendelea kupigwa na vumbi.

Je mtu mbinafsi na mubaguzi kiasi hiki anafaa kuwa Rais?huduma zote za kimaendeleo zinazohusu nchi si atakuwa ana zipeleka chumbani kwake na mke wake.

Unajilopokea tu hata biharamulo hupajui nenda kama hakuna lami toka nyakanazi biharamulo to bukoba kitambo sana mpumbavuuu na lofa wewe.
 
Mmeona sera haziuzi,siraha kubwa ni usukuma wa mgombea! Watu walimchagua mkwere mwenzao wakitegemea neema lkn mpaka sasa wanajuta,wake up!
 
Jana nilikuwa maswa huko wana msemo

magufuli kwanza wabunge wafanye kampeni

sasa huku lowassa atapitaje kwa mfano...

Limasai lyabo balekelagi abhise magufuli duhu
 
Mi Naamini Watz Tutachagua Kulingana Na Sera Za Mgombea Husika,lakini Tukubali Tukatae Ukabila Na Ukanda Nchini Bado Upo.Hvo Mikoa Ya Tabora,shinyanga Na Mwanza Bado Itabaki Kua Ngome Ya Maguful Kama Arusha,kilimanjaro Na Moshi Ilivo Ngome Ya Lowassa...Mikoa Hapo Juu Weng Wao Wataangalia Sana Mgombea Kwa Jicho La Ukanda Na Kabila Moja.
 
hatuwez mpa kura mtu kutokana na kabila lake, dini yake wala kanda yake kamwe. bali tutaangalia sera za chama chake na uwezo wake wa kusimamia ahadi hizo....

Ndio tunampa wakwetu kura Sasa,Wa kaya.utajibeba
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom