Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm

Wewe ndio uliyelogwa kwa kututaka tuchague genge la majambazi ya raslimali za nchi yetu. Ulembule shi. Nchiluchilu bhebhe
 
Mweeee,kanda ya ziwa hatufanyag kosa,apa ni ukawa kwa kwenda mbele tushawachoka na ahad zenu za uongo mwingine akatuaid atanunua meli mpya naona kesho anaachia ngaz hakuna cha meli wala mtumbwi,Mv serengeti masaa6 inataka kuzamisha watu lakin hata jitiada 1 ya kuokoa watu hamna,alafu leo hii mwingine anatwambia et,stawaangusha!jaman tushachoka kudanganywa,Viva ukawa.
 
watu wa kaskazini mkichagua Lowasa basi mnamatatizo ya akili, muulizeni kaskazini wote matajiri
Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm
 
Kanda ya ziwa ni Magufuli tu mtu wa kazi....nyinyi wakaskazini mmeungana wote kumchagua Lowassa na hatuwasemeshi ila nyinyi wasiwasi unatoka wapi sisi kumchagua mtu wa kwetu. Magufuli ni mtu wa kwetu na hatutomwangusha tunajua hatotusahau ndugu zake maana damu ni nzito kuliko maji kama JK alipeleka bandari kwao na sisi hatuwezi kosa chochote.

Pigeni kampeni nendeni huko tengenezeni mafuriko ila mngewajua watu wa huko mngeanza kujiandaa kisaikolojia mapema.
 
Hakuna wanaume wa kubahatisha kanda ya ziwa si unamkumbuka Mwalimu Nyerere sio, #HapaKazi Tu, porojo peleka kanda nyingine huko sio kwetu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Yaani we ndio mp.....vu kweli mbona kaskazini huwaambii kwa ukanda na ulutheli wao na kututenga sisi. Angalia viongozi wa chadema nani anatoka kanda ya ziwa, kusini, magharibi. Leo sisi wametuletea wa kwetu mnatusihi tusimchague ili desemba twende wote moshi
 
Rais akipendelea kwake kama JK alivyofanya. Nchi itagawanyika. Gesi ni ya Mtwara. Acheni mambo ya kijinga hayo mnaohubiri utengano na kujinufaisha home tu.
 
Si mlijidai mnaanzisha Kaskazini Movement endeleeni nayo sasa. Na mmepandikiza kitu kibaya sana Tanzania hii. Kwa taarifa tu Kilimanjaro na Arusha wanaopiga kura ni 1.6m Kigoma peke yake ni 1.2 Bado Mwanza, Musoma, Bukoba, Simiyu, Shinyanga ,Geita nk. Mwanzoni mngeweza pewa kura kidogo kidogo lkn baadaya ya kuonyesha kila mkaskazini anamponda Magufuli

TUMESHITUKAAAAAAAAA
 
Sisi ndo Kanda ya Ziwa sisi HAPA KAZI TU. MAGUFULI HOYEEE! MSIOGOPE NA KUPANIKI. LAZIMA MCHEZA KWAO HUTUZWA. HILO MJUE KABISA KUWA MAGUFULI ATAPATA KURA NYINGI KANDA YA ZIWA NA NDO KWENYE WAPIGA KURA WENGI.

Kanda ya ziwa mkichagua kanda ya kaskazini, basi tajua mazuzu ni wengi. Situkani wala kukashfu, bali naeleza kulingana na kanda ya kaskazini kujinadi kuwa lazima watoe rais awamu hii.
 
Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm

LOWASA kaskazini amefanya nini hadi achaguliwe? usiwafundishe watu maamzi huo ushauri kampe mkeo #Hapa kazi tu.
 
Sisi siyo wanamsoga, kanda ya ziwa imejaliwa watu wanaojitambua. Hatuchagua mtu kisa ni wa kanda hii bali tutachagua mtu anayeonesha atakavyotekeleza sera ya chama. Na kwa hili makomeo ameisha felig
 
Wewe katika maidha yako uliahidi vingapi na kutimiza vingapi? Unajua kama serikali ni mzazi na ana watoto wengi na hivyo anaset priority ili kukamilisha mambo yake kwa weredi?
 
Meli kama ni ya bukoba si muhimu kwa sasa maana mabasi yanakwenda mwanza bukoba mwanza the same day. Meli ilitoka mwanza saa mbili unusu na kufika saa kumi na mvili asubuhi. Bado unaiihitaji?
 
ahadi za ccm nyingi ni porojo tu. kanda ya ziwa waliahidiwa meli kubwa mbili lakini mpaka sasa ni kitendawili..ccm ni matapeli...
 
Back
Top Bottom