ni kweli kabisa kwa sasa niko musoma (bwai) hawataki hata kumsikia huyo kiumbe
Sema wewe ndio hutaki kumsikia.Sheria lazima zifuatwe.Kama ikiruhusiwa uvue hao samaki wadogo leo ungekuwa unavua nini.Hata hivyo kuchoma makokoro alikusaidia wewe ndio maana mpaka leo kuna samaki hapo kwenu bwai mpaka huko suguti,Mrangi na kadhalika.Rais ambaye hatazingatia sheria hafai.