Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Kanda ya Ziwa ni Lowassa

kanda ya ziwa; madiwani na wabunge - mtashare na ccm na ukawa na ACT

LAKINI URAISI- MTOTO WAKO MWENYEWE UMKATAE ; UMERONGWA.

PESA LETENI ;

URASI MAGUFURI

SIO HIVYO TU; KANDA WA ZIWA KWA MARA YA KWANZA WABUNGE WOTE WATAKUWA WA CCM

DALILI ZINAVYOONESHA .

BIHARAMULO- CCM
ILEMELE - CCM

NYAMAGANA 50/50

MUSOMA = CCM

UKEREWE -CCM

BARIADI - CCM

ilemela na nyamagana unaota
 
Mi Naamini Watz Tutachagua Kulingana Na Sera Za Mgombea Husika,lakini Tukubali Tukatae Ukabila Na Ukanda Nchini Bado Upo.Hvo Mikoa Ya Tabora,shinyanga Na Mwanza Bado Itabaki Kua Ngome Ya Maguful Kama Arusha,kilimanjaro Na Moshi Ilivo Ngome Ya Lowassa...Mikoa Hapo Juu Weng Wao Wataangalia Sana Mgombea Kwa Jicho La Ukanda Na Kabila Moja.

aliyekuambia mwanza ni ngome ya magufuri
mwambie amekosea
 
aliyekuambia mwanza ni ngome ya magufuri
mwambie amekosea

Mwanza ip unaongelea... ukisema ilemela na nyamagana sawa huko ni 50% kwa 50% lakini MISSUNGWI, KWIMBA, MAGU, SENGEREMA Utaendelea kuota na hata hapo mjini bado Magufuli atashinda
 
ahahaha,acha kupaniki!
uku bukoba chikwete alituahidi meli kubwa mbadala wa mv bukoba,bado mwezi mmoja aondoke,meli hajaileta!
maghufuli akija naye akazungumzia meli tunamzomea!
labda kama akija nayo yy mbele meli nyuma tutampa kura,kinyume na hapo-nooo!

Huyo ninavyo mjua!!anaweza kuwaambia pigeni mbizi.mwanza to bk...ccm kwisha
 
Makomeo yeye nikimsikia aongei mikakati aliyo bali kila saa kulalama na failure za utawala uliopita akishindwa kuonesha atakavyofanya atakavyotoka.

Ila watanzania nawaomba acheni kuendekeza ukabira utakuja kutesa wanyonge ambao ndo wengi nchi hii. Kwenye siasa ongea sera na si kabira, ukanda wala dini vikiwageuka siku moja mtaja kujuta. Nimekuwa nikifuatilia chaguzi zote zilizofuata baada ya kifo cha mwl zimejaa mizengwe ya udini, ukabira na kuzushiana na haya huwa yanaibuliwa na chama kinachosema kinauzoefu wa kuongoza. Mimi huwa najiuliza aina ya huu uzoefu

Ungewaanza na ile kanda inayompondea magufuli wao wote wameshikamana kwa ajili ya ndugu yao mbona hata sisi kanda ya ziwa tunaweza Tena idadi ya wapiga kura huku ni kubwa haswa kumpeleka Magufuli ikulu tusimpo mjali wa kwetu itabidi tukapimwe akili ninavyowajua hiyo kanda baada ya muda watatucheka nakutuona vimpompo kwakutomchagua mtu wa huku kwakua tumepata nafasi ngoja tukupe ushirikiano Magufuli maana hakuna namna.
 
mmeunda chama cha kikanda mmeona kura za kwenu haziwatoshi mnatafuta sehemu ya kuongezea kura ili mkamilishe ndoto zenu lakini hakuna la maana lolote, tuacheni na magufuli wetu, wahenga wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha,

Hakika watuache hapa Magufuli tu Tena watutolee ulaghai wao kura kwa Magufuli.
 
aliyekuambia mwanza ni ngome ya magufuri
mwambie amekosea

Kwahiyo wewe unajua mwanza ni ngome ya mmasai basi wewe umelogwa zaidi tusimpe wa huku tumpe mmasi subiri uone.
 
Tumejiapnga wenyewe mtaisoma.

Mimi ni mtu wa kanda ya ziwa....nitakuwa ---- sana kama kalamu yangu itaweka tiki kwenye mgombea YEYOOOTE wa CCM katika maisha yangu yaliyobakia....nitakuwa mpumbavu mno...na kwa taarifa yako, wengi wetu, labda kwa nyie mnaofaidika na familia zinazokula buku 7-7, huku ni UKAWA
 
Mkatambike mapema kwasababu ekyawe kyawe na sie hatuna tatizo naye na ni mtanzania mwenzetu kama waliopita na watakaokuja, msitupangie Maneno
 
Kwahiyo wewe unajua mwanza ni ngome ya mmasai basi wewe umelogwa zaidi tusimpe wa huku tumpe mmasi subiri uone.

Eti tumwache tumpe yule wa kwao tena domo zege ..kila mchuma janga hula na wa kwao na sisi huyu ama mbaya ama mzuri, tutakula naye na hatutamtenga ..
 
watanzania wanajua nini wanatakiwa kufanya tarehe 25 octoba. CCM wameiasisi ajenda ya ukanda lakini mpaka sasa inashindwa kufunction kwani watanzania wanajua athari yake
 
kama mnafatilia hizi kampeni hili eneo linaogopwa sana na ccm wapiga kura wake wengi hawaeleweki ..na ni moja ya ngome kuu za upinzani hasa chadema ambayo imejimaarisha sana huku......ukiangalia kuna mikoa ccm wameikwepa either kutaka chadema ndi wawe wa kwanza kumnadi lowasa ...ccm wamekwenda Mara lakin mwanza wameiruka ...ilikuwa waende kagera lakini sijajua kama watakwenda ...ukawa nao baada ya kumaliza shinyanga wamekwenda kumaliza kiporo chao morogoro...yaani kanda ya ziwa limekuwa eneo linalokimbiwa kila mmoja akitaka mwenzke aanze ili ammaliza vzuri
 
Nakama CCM wanategea kuja kanda ya Ziwa imekula kwao,huku Nyerere,Wenje,Mawazo na Kasulumbai a.k.a Mungu wa Maswa mpaka sasa wanaendelea kupaharibu,hata EL nikuja kusalimia tu.
 
Tunawapiga counter attack kama hawapo mchezoni vile! Wale wanaoulizia campain team ya ukawa waje wasome hii!
 
Nakama CCM wanategea kuja kanda ya Ziwa imekula kwao,huku Nyerere,Wenje,Mawazo na Kasulumbai a.k.a Mungu wa Maswa mpaka wanaendelea kupaharibu,hata EL nikuja kusalimia tu.
Mkuu nakubaliana nawe lkn hili Neno "Mungu"umelitumia vibaya..naomba usirudie tena.
 
Back
Top Bottom