Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Hapo hakuna cha kupaogopa.Na lake zone sio Mwanza pekee,ni pamoja na Mara,Geita,Simiyu,Shy ,Kagera.Tabora nayo tunaiunga kwa mbalı.Tunawaunga UKAWA ila kwa upande wa urais lazima atunzwe kijana wetu Yohana.Tutawapa sapotı UKAWA kwenye mikutano lakin kura ya urais mtusamehe, inaenda kwa Yohana.Mje msıje iko hvyo.Mtapata kura ndugu zenu wanaofanya biashara za uchuuzı huku peke yao.
 
Hakika ninawaeleza,hali ya CCM hivi sasa ni tete,waasisi wa kudondoka kwa CCM ni Viongozi wa CCM wenyewe!!Natarajia kura nyingi za CCM kwa UKAWA.Waliotoka CCM ni wengi mno,waliojitambulisha hadharani ni wachache wengi wanaugulia moyoni ni maelfu kwa maelfu!!
Nimezaliwa miaka ya 70 na nimeishi vijijini ndani kabisa katika mikoa zaidi ya nane (Njombe,Arusha,Kagera,Morogoro ,Iringa,Rukwa,Mbeya,Pwani na Tanga) mijini pamoja na nje ya nchi.Kati ya mataifa yaliyokuwa na rasilimali ambazo asilimia 90 ya watu wa Nchi hiyo hawanufaiki nazo ni Tanzania.Tuna kila ina ya madini.tuna gesi na makaa ya mawe,tuna mbuga na misitu.ardhi safi na vyanzo vya maji,bahari,milima na mabonde yenye rutuba.Wananchi wa Tanzania ni "maskini wa kutupwa" kuna watu kesho yao ni kitendawili kigumu na wengine wapo hata jiji maarufu la Dar es Salaam. Maisha yamekuwa maigizo. Takwimu zinaonesha ujinga umeongezeka kwa asilimia za kutisha,vijana wengi hawajui kusoma wala kuandika.Wanaendelea na masomo ya Vyuo Vikuu ni wale wenye uwezo wa fedha na mali.Wengi wameshindwa kuendelea kwa sababu hawana uwezo ni mikopo ina utata mwingi..Mpaka leo tunavyoandika magonjwa ambayo yametokomea duniani Tanzania ndio mahala pake.Jiji la Dar limekumbwa na ugonjwa wa aibu wa kipindupindu na wengi wameaga dunia kwa sababu ya uchafu.Mahospitalini wagonjwa wamelala mzungu wa nne kwa magonjwa mbalimbali na wakina mama wakijifungulia mitaroni ama vichochoroni!!!..Upande wa pili,watoto wa vigogo wanasoma nje ya nchi ama katika shule ambazo ada ya mwaka ni Milioni 80.Matibabu yao ya mafua na kikohozi ni ulaya na Marekani.Mavazi yao yamedizainiwa na Madizaina maarufu duniani.Mapumziko yao ni Vegas ama London.Benki zao ni Uswisi na Visiwa vya Uingereza. Vyakula vyao vinaagizwa kutoka Italy na Singapore,Usafiri wao ni ndege za kukodi na magari ya kifahari.Barabara za vumbi hawazijui asilani...Kuing'angania CCM ni miongoni wa matatizo yetu Watanzania.Wakati umefika ni LAZIMA IONDOKE ili kama itakuwa na Jipya IJITAFAKARI….
 
Kulu hawana chao,kama ukawa wameteka mgome za ccm,hujue ni hatari,jana tbr nguvu ya malori ndo imewafikisha pale vinginevyo ni aibu kubwa,watu wa mabadiliko cha kwanza wanachotaka ni kuing'oa ccm na hili ndo limefanya wanamabadiliko waendelee kushikamana
 
Hivi ukimuondoa Wenje ambaye tulimpa kwa kuchoshwa na Masha na Vicent Nyerere wa Musoma Mjini, ni nani tena mbunge wa upinzani? Lake zone yote ni CCM. Labda kama ulikuwa hujui.
 
Hapo hakuna cha kupaogopa.Na lake zone sio Mwanza pekee,ni pamoja na Mara,Geita,Simiyu,Shy ,Kagera.Tabora nayo tunaiunga kwa mbalı.Tunawaunga UKAWA ila kwa upande wa urais lazima atunzwe kijana wetu Yohana.Tutawapa sapotı UKAWA kwenye mikutano lakin kura ya urais mtusamehe, inaenda kwa Yohana.Mje msıje iko hvyo.Mtapata kura ndugu zenu wanaofanya biashara za uchuuzı huku peke yao.

Msingekuwa mnabeba watu kwenye malori basi
 
Hapo hakuna cha kupaogopa.Na lake zone sio Mwanza pekee,ni pamoja na Mara,Geita,Simiyu,Shy ,Kagera.Tabora nayo tunaiunga kwa mbalı.Tunawaunga UKAWA ila kwa upande wa urais lazima atunzwe kijana wetu Yohana.Tutawapa sapotı UKAWA kwenye mikutano lakin kura ya urais mtusamehe, inaenda kwa Yohana.Mje msıje iko hvyo.Mtapata kura ndugu zenu wanaofanya biashara za uchuuzı huku peke yao.
Acha kusemea humu mitandaoni, njoo mwenyewe kanda ya ziwa uone jinsi wananchi tulivyojipanga kuyapokea mabadiliko chini ya UKAWA. Lowassa atashinda kanda zote lakini kanda ya ziwa, Lowassa atashinda kwa kishindo kikubwa.
Amini usiamini, CCM inazikiwa kanda ya ziwa katika uchaguzi huu.
 
Hapo hakuna cha kupaogopa.Na lake zone sio Mwanza pekee,ni pamoja na Mara,Geita,Simiyu,Shy ,Kagera.Tabora nayo tunaiunga kwa mbalı.Tunawaunga UKAWA ila kwa upande wa urais lazima atunzwe kijana wetu Yohana.Tutawapa sapotı UKAWA kwenye mikutano lakin kura ya urais mtusamehe, inaenda kwa Yohana.Mje msıje iko hvyo.Mtapata kura ndugu zenu wanaofanya biashara za uchuuzı huku peke yao.

nilitaka kushangaa,yaani kanda ya ziwa wamtupe kweli kijana wao yohana,,,,,,,,aaah waaapi....
 
Hivi ukimuondoa Wenje ambaye tulimpa kwa kuchoshwa na Masha na Vicent Nyerere wa Musoma Mjini, ni nani tena mbunge wa upinzani? Lake zone yote ni CCM. Labda kama ulikuwa hujui.

Wewe wasema subiri kipigo
 
kama mnafatilia hizi kampeni hili eneo linaogopwa sana na ccm wapiga kura wake wengi hawaeleweki ..na ni moja ya ngome kuu za upinzani hasa chadema ambayo imejimaarisha sana huku......ukiangalia kuna mikoa ccm wameikwepa either kutaka chadema ndi wawe wa kwanza kumnadi lowasa ...ccm wamekwenda Mara lakin mwanza wameiruka ...ilikuwa waende kagera lakini sijajua kama watakwenda ...ukawa nao baada ya kumaliza shinyanga wamekwenda kumaliza kiporo chao morogoro...yaani kanda ya ziwa limekuwa eneo linalokimbiwa kila mmoja akitaka mwenzke aanze ili ammaliza vzuri

Tumieni mbinu zote, enyi kizazi cha nyoka, UKAWA, lakini ukanda wa ziwa mtaambulia mafuriko yetu kwakuwa mna mgodi unaotembea!
LAKE ZONE: KULA UKAWA, KURA CCM!
 
Hivi ukimuondoa Wenje ambaye tulimpa kwa kuchoshwa na Masha na Vicent Nyerere wa Musoma Mjini, ni nani tena mbunge wa upinzani? Lake zone yote ni CCM. Labda kama ulikuwa hujui.

Mwaka huu Masha hayupo unasemaje Nyamagana au Musoma Mjini?
 
Tumieni mbinu zote, enyi kizazi cha nyoka, UKAWA, lakini ukanda wa ziwa mtaambulia mafuriko yetu kwakuwa mna mgodi unaotembea!
LAKE ZONE: KULA UKAWA, KURA CCM!

safe_image.php
 
hii ni kweli maana hata mimi na wenzangu toka mioa ya moshi na arusha tuliamini magufuli atapata kura kuliko lowasa kisa katoka lake zote ila ukweli wengi hawamkubali na ni tabia ya wasukuma hawana wa kwao na the same kwa wanyamwezi hivyo it is likely lowasa kashinda zaidi ya matarajio huko lake zone
Wakazi wa Kanda ya Ziwa tunakumbuka sana juhudi za Edward Lowassa alivyofanikisha kutuletea maji kutoka ziwa Victoria baada ya kilio cha muda mrefu, tutatoa shukrani zetu kwake tarehe 25 Oktoba.

Ziara yake ukanda huu yatakua mafuriko zaidi ya Dar,Karibu shujaa wetu.
 
Vuguvugu la mabadiliko linasambaa kwa kasi ya ajabu huku kanda ya ziwa, Kagera, Simiyu, Mara, Geita, Shinyanga na MWANZA tunasema Mabadiliko ni sasa, LOWASSA ndio Rais wetu na UKAWA ndio tumaini letu. Huko kwenu vipi?
 
Back
Top Bottom