Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Tumejiapnga wenyewe mtaisoma.
Mkuu ingawa natambua uwezo wa Magufuli, kura yangu ataikosa kwa sababu ya chama chake.Habari ya kanda ya ziwa ni Magufuli tu, nyie wa kaskazini bakini na fisadi lenu na huo uchu wenu wa madaraka!
#hapakazitu
Manina zako tuache na mawazo yetu kachague hayo majinga menzango ya huko kaskazini tuache na magufuli wetu mpumbavu wewe.
Tumejiapnga wenyewe mtaisoma.
Habari ya kanda ya ziwa ni Magufuli tu, nyie wa kaskazini bakini na fisadi lenu na huo uchu wenu wa madaraka!
#hapakazitu
Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm
Kuna ziwa huko simiyu? watu wa kagera,mza,mara na geita ndo wamelengwa bwana,huyu wa simiyu hajitambui
chikwete tunamdai meli uku bukoba,maghufuli asipokuja nayo tunamzomea na kura tunampata el
Kwikwikwikwikwikwikwikwikwa hiyo Lowasa ndio atawaletea Meli?endelea kuota.
Kuna ziwa huko simiyu? watu wa kagera,mza,mara na geita ndo wamelengwa bwana,huyu wa simiyu hajitambui
Halafu ninyi mnaojidai kutushawishi Kanda ya ziwa mmetumwa,na sisi tunaomba Kanda ya kaskazini mpigieni magufuli kwani anafaa.
kwa hiyo Lowasa ndio atawaletea Meli?endelea kuota.