Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Mkuu usiponiongeza kwenye hii tag list nakuripot kwa ofisho robot labda vitisho vitasaidia kidogo
 
shukrani mkuu. dah hii makala mwishoni imenitoa machozi. sasa hawa waasi walichokua wanahitaji ni nini hasa? ua hao wamagharibi waliwaahidi nini hadi kufikia yote haya.?
 
Mkubwa The bold ningependa kujua kwa undani maisha ya sasa ya Libya je wamefanikiwa kupata uhuru walioutaka au maisha yamebadilka kiasi gn?
 
Dunia ingekuwa poa km taifa la Amerika lingesambaratishwa pakawa hamna viumbe wa namna hii
 
MWISHO

Kuna mengi mno ya kuandika kuhusu maisha ya kanali Muammar Gaddafi lakini kwa makala hii nitaishi hapa...
Heshima kwako mkuu.... Dah Sina cha kusema Nawaza kuharibu.
 
Eti anatetea wananchi kiko wapi libya? Bila shaka wanafaudu demokrasia huko kwa sasa
 
Back
Top Bottom