Nmesikitishwa sanaKANALI MUAMMAR GADDAFI (1942 - 2011)
Mwaka 1969 Gaddafi alipokea kutoka kwa Idris, nchi ya Libya ikiwa moja kati ya mataifa masikini zaidi duniani.
Mpaka kufikia mwaka 2011 alikuwa amefanikiwa kuifanya Libya taifa tajiri zaidi Africa likiongoza kwa GDP. Pia Libya ilikuwa na watu wachache zaidi wanaoishi chini ya mstari wa umasikini kuishinda hata nchi ya uholanzi.
Nieleze pia 'maajabu' machache mengine ambayo Gaddafi aliyafanya kwa nchi yake mpaka kufikia 2011;
- Gaddafi aliifanya familia kuwa na nyumba nchini Libya ni Haki ya Binadamu. Kwamba kila familia ni lazima iwe na makazi. Hili amelieleza vyema sana kwenye kitabu chake cha The Green Book. Na alihakikisha kwamba serikali yake inaipatia nyimba kila familia.
- Elimu ilikuwa inatolewa bure nchini Libya kuanzia msingi mpaka Chuo Kikuu.
- katika utawala wa Gaddafi Libya ndiyo ilikuwa nchi yenye kutoa huduma bora zaidi za kiafya barani Afrika na huduma hii ilitolewa bure kwa watu wake. Pia wananchi ambao walitakiwa labda kupata matibabu fulani nje ya nchi, walilipiwa na serikali.
- serikali ya Gaddafi ndiyo iliyotekeleza mradi mkubwa zaidi wa kilimo cha umwaguliaji kwenye historia ya Dunia. Hii ilihusisha kutengeneza mto ambao ulitembea nchi nzima. Gaddafi mwenyewe alipenda kuita mradi huu kama "ajabu la nane la dunia."
- mwananchi wa Libya alikuwa akitaka kuanzisha mradi wa kilimo, anapewa nyumba, shamba, mifugo na mbegu za kuanzia. Vyote hivi anapewa bure na serikali ya Gaddafi.
- chini ya serikali ya Gaddafi, mama mjamzito akijifungua alikuwa anapewa dola elfu tano (zaidi ya milioni kumi ya Tanzania) kwa ajili yake na mtoto.
- chini ya Gaddafi, umeme ilikuwa bure nchini Libya.
- kipindi cha Gaddafi, bei ya mafuta ya gari kwa wananchi nchini Libya ilikuwa chini mpaka kufikia dola 0.14.
- wakati Gaddafi anaingia madarakani ni wananchi 25% walikuwa wameelika lakini mpaka kufikia mwaka 2011 zaidi ya 87% ya wananchi walikuwa na elimu.
Haya ni machache kati ya 'maajabu' Mengi mno ambayo Gaddafi aliyafanya kwa watu wake na kuibadilisha na kuipaisha Libya.
The Bold - 0718 096 811
Mkuu mbona unaharisha tu pasipo kujua kwa sasa watu walibya wanamliliaje kiongozi wao...marekani ni taifa hatari sana linapoona maslahi yake yameingia dosari na sumu hizo alowalisha mnazoharisha humu kwa magreat thinkers unaonekana kituko..kwa sasa ukiongea kauli kama yako hiyo uko ndani tripoli unakatwa kichwa....Dunia nzima ilikuwa inajua kuwa Gaddaf alikuwa dicteta katili, Aliwaua wapinzani na kuwazika katika kaburi moja kama mizoga,alitembea na mahema ugenini kwa sababu aliamini ugenini anakokwenda ni najisi tupu,alikula chakula alichoandaa yeye kwa sababu chakula cha wengine kilikuwa najisi.Alichukiwa na mataifa yote kwa sababu ya dharau na kung'ang'ania madaraka, ndo maana baada ya kufa hakuna taifa lililosikitika na kufa kwake.Alizikwa na familia yake peke yake.Angekuwa mwadilifu angezikwa kwa heshima na dunia nzima kama Mandela na Nyerere.Hapa Tanzania ana historia mbaya ya kuua Watanzania wasio na hatia kwenye vita ya Kagera kwa kutuma silaha za hatari kumsaidia Idd Amin.Utajiri wa Libya haukuwa mali yake binafsi, hata wengine wangetawala utajiri ungekwepo na ungewasaidia Walibya wote.Huyu alisitahili kifo kwa sababu na yeye aliua kwa upanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gaddafi ndo mfia afrika wa kweli ambaye sina hakika kama atakuja tokea mwingine hats miaka mia ijayo
Unaquote Uzi mrefu kama halafu unaishia kucomment maneno mawiliTamu sana
Hii dhana ya kutupia lawama wazungu kila aina ya uovu Afrika ni uthibitisho tosha kabisa kuwa Waafrika bado wajinga sana, hivi Gaddafi wakati anaua wale wakosoaji wake na kufanya madaraka ya urais kama ya familia yake na ukoo wake alikuwa akifanya hivyo akiwa ameshikiwa pangu na wazungu shingoni ?Mkuu mbona unaharisha tu pasipo kujua kwa sasa watu walibya wanamliliaje kiongozi wao...marekani ni taifa hatari sana linapoona maslahi yake yameingia dosari na sumu hizo alowalisha mnazoharisha humu kwa magreat thinkers unaonekana kituko..kwa sasa ukiongea kauli kama yako hiyo uko ndani tripoli unakatwa kichwa....![]()
![]()
Gaddafi ndo mfia afrika wa kweli ambaye sina hakika kama atakuja tokea mwingine hats miaka mia ijayo
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa Libya kamwe haitawaliki, haitawaliki kwa sababu Gaddaf aling'ang'ania madaraka na kuwanyima nafasi Walibya wengine kutawala.Sasa baada ya kuuawa na Walibya wenyewe wafuasi wake wanataka waendelee kutawala wakati wapinzani nao wanataka kutawala.Hii ni vita ya kuwania madaraka ambayo haiwezi kwisha. Udikteta wa Gaddafi ndio ulioleta kadhia hii yote.Nakushangaa unaposema Gaddafi alikuwa kiongozi makini na mwadilifu wakati baada ya kufa hakuna taifa hata moja duniani lililoshituliwa na msiba wake.Alikufa na kuzikwa kama mbwa na zaidi familia yake tu ndio waliomzika.Angekuwa kiongozi mwadilifu angezikwa na duniani nzima kama ilivyokuwa kwa Mandela na Nyerere.Wewe unaemtetea Gaddafi ndo unaeharisha kwa sababu unatetea kitu kilichokuwa kimeoza kiasi cha kuwa chukizo kwa dunia nzima.Mkuu mbona unaharisha tu pasipo kujua kwa sasa watu walibya wanamliliaje kiongozi wao...marekani ni taifa hatari sana linapoona maslahi yake yameingia dosari na sumu hizo alowalisha mnazoharisha humu kwa magreat thinkers unaonekana kituko..kwa sasa ukiongea kauli kama yako hiyo uko ndani tripoli unakatwa kichwa....![]()
![]()
Gaddafi ndo mfia afrika wa kweli ambaye sina hakika kama atakuja tokea mwingine hats miaka mia ijayo
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Una udhibitisho gani wa kutuambia kuwa Gaddafi amezikwa na familia yake...?Kwa sasa Libya kamwe haitawaliki, haitawaliki kwa sababu Gaddaf aling'ang'ania madaraka na kuwanyima nafasi Walibya wengine kutawala.Sasa baada ya kuuawa na Walibya wenyewe wafuasi wake wanataka waendelee kutawala wakati wapinzani nao wanataka kutawala.Hii ni vita ya kuwania madaraka ambayo haiwezi kwisha. Udikteta wa Gaddafi ndio ulioleta kadhia hii yote.Nakushangaa unaposema Gaddafi alikuwa kiongozi makini na mwadilifu wakati baada ya kufa hakuna taifa hata moja duniani lililoshituliwa na msiba wake.Alikufa na kuzikwa kama mbwa na zaidi familia yake tu ndio waliomzika.Angekuwa kiongozi mwadilifu angezikwa na duniani nzima kama ilivyokuwa kwa Mandela na Nyerere.Wewe unaemtetea Gaddafi ndo unaeharisha kwa sababu unatetea kitu kilichokuwa kimeoza kiasi cha kuwa chukizo kwa dunia nzima.
Na wewe thibisha mataifa gani yalishiriki kwenye msiba wake.Una udhibitisho gani wa kutuambia kuwa Gaddafi amezikwa na familia yake...?
Usiulize swali juu ya swali...!Na wewe thibisha mataifa gani yalishiriki kwenye msiba wake.
Kwa taarifa tu wanae walokuwa wanaitwa magaidi na utawala wa Obama na vibaraka wake wameitwa na wamesharejea kuchukua mamlaka muda na wakati wowote wanakabidhiwa nchi hao vibaraka wenu wameshindwa kuirejesha libya ktk misingi na utamaduni wa walibya wamebaki kugombea utahiri tu...Kwa sasa Libya kamwe haitawaliki, haitawaliki kwa sababu Gaddaf aling'ang'ania madaraka na kuwanyima nafasi Walibya wengine kutawala.Sasa baada ya kuuawa na Walibya wenyewe wafuasi wake wanataka waendelee kutawala wakati wapinzani nao wanataka kutawala.Hii ni vita ya kuwania madaraka ambayo haiwezi kwisha. Udikteta wa Gaddafi ndio ulioleta kadhia hii yote.Nakushangaa unaposema Gaddafi alikuwa kiongozi makini na mwadilifu wakati baada ya kufa hakuna taifa hata moja duniani lililoshituliwa na msiba wake.Alikufa na kuzikwa kama mbwa na zaidi familia yake tu ndio waliomzika.Angekuwa kiongozi mwadilifu angezikwa na duniani nzima kama ilivyokuwa kwa Mandela na Nyerere.Wewe unaemtetea Gaddafi ndo unaeharisha kwa sababu unatetea kitu kilichokuwa kimeoza kiasi cha kuwa chukizo kwa dunia nzima.
Fungua link za You Tube utaona alizikwa na watu wangapi.Hata dictator Mabutu Sseseseko wa Kongo alizikwa na watu wasiopu gua saba, hii ni ishara kuwa udictator ni chukizo.Usiulize swali juu ya swali...!
Naomba jibu kwanza...