haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,828
- 4,593
Ndio athari ya bangi na viroba sasa Libya kuna uhuru gani?Gaddafi huyo huyo alimsapoti nduli iddamini. Na alisababisha hasara kubwa Kwa ustawi wa Tanzania.
To hell with dictator Gaddafi, aliwanyima uhuru wananchi wake. Bora walibya waishi maisha ya hali ya chini lakini wakiwa na Uhuru.