Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Mkuu The bold hii inaendelea lini?tuna kiu, au mpaka tukuteke?
 
pamoja mkuu The Bold. plz ni tag ukidondosha sehemu ya tatu na zinazoendelea. kwani kwangu umekua msaada mkubwa sana katika secta ya chakula cha ubongo. na nina kundi la watu nyuma yangu wanafaidika na hizi makala zako murua maana kama nilivyowahi kukwambia mtaani naitwa TEACHER kwa sababu yako.
Hahahah!! Pamoja sana mkuu Mnongane

Endelea kuwapa darasa murua
 
Mkuu kwa mtiririko unaoenda nao naona kama hautawaelezea wale mabodyguard wake wa kike, please hebu waelezee kidogo, maana walikuwa na mvuto wake
Shukrani kwa pendekezo mkuu... Nitafanyia kazi
 
Unatafuta bwana humu ndani au?

Unavyokuwa unaquote Uzi mzima unamaanisha nini mshamba ww!

Nasubiri hilo tusi lako nikuzalishe hapa hapa bwege ww!

Mxiiiiiiuuuu..
Ngoja akutukane tumshughulikie huyo taahira. Ndo tatizo la kuwa na vihiyo wengi ktk nchi kuliko werevu
 
Natumai mada kama hii itaamsha mijadala mipana kwa wana Jf kama ma-great thinker na isiishie kuwa kama kusoma stori za Shigongo. Iwe ni chanzo na sababu za kuchokonoa hisia na mawazo yetu kwa ajili ya faida ya nchi yetu ambayo bado ipo gizani.
 
pamoja mkuu The Bold. plz ni tag ukidondosha sehemu ya tatu na zinazoendelea. kwani kwangu umekua msaada mkubwa sana katika secta ya chakula cha ubongo. na nina kundi la watu nyuma yangu wanafaidika na hizi makala zako murua maana kama nilivyowahi kukwambia mtaani naitwa TEACHER kwa sababu yako.
Natamani ningekuona unavyowapa madini...
 
Safi sana mkuu, umalizie na hali iliyopo huko kwa sasa mjamzito anapewa tena m10? dah? binadam hatuna wema kabisa
 
Gaddafi huyo huyo alimsapoti nduli iddamini. Na alisababisha hasara kubwa Kwa ustawi wa Tanzania.
To hell with dictator Gaddafi, aliwanyima uhuru wananchi wake. Bora walibya waishi maisha ya hali ya chini lakini wakiwa na Uhuru.
 
Back
Top Bottom