Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Shukrani sana mkuu The Bold
Maji nimeyanywa ila kiu bado haijaisha, nasubiri tena toleo la Tatu ili niweze kimaliza au kupunguza kou yangu juu ya huu Uhondo.
Pamoja mkuu! Soon sehemu ya tatu
 
Mkuu hongera na asante kwa kutupatia chakula kizuri cha ubongo sisi wavivu wa kusakanya materio mbali mbali.

Lakini nikuombe kitu kinoja kama ikiwezekana uwe unatufanyia sisi wasoma headings tu kwenye majukwaa...

Mfano mimi husoma vichwa vya habari tu,nikivutiwa na heading ndo naifungua ili nipitie,sasa kuna wakati threads zako nazikuta zilishafikisha siku mbili tatu,na hata ukiniweka ktk taglist yako nadhani ninakua nachelewa kuona...

Sasa ombi langu ni kwamba,anza na neno THE BOLD ktk kila heading subject ya thread zako mpya,ili mtu akioona iyo neno tu...afungue mara moja.

Mfano hii ungeianza hivi:-

THE BOLD:"Kanali Muammar Gadaf......"

Yaani utakua umetuokoa sana sisi...

Thanks
Ni wazo zuri sana mkuu...

Sometimes huwa nafanya hivyo ila mods naona wanarekebisha heading.!!

Kwa hiyo nadhani moderators ni vyema wakiona hii... Waniruhusu kuanza na utambulisho wa "The Bold:......." Kwenye headings za nyuzi zangu.




Cc: Maxence Melo, JamiiForums, Cookie, Invisible, Mhariri, Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4, Mod 5
 
Kweli kuna nchi hatari sana pamoja na yote waliyofanyiwa bado watu wanaandamana na kumpinga? Hao wananchi wangekua bongo sipati picha patashika yake.
Story safi sana mkuu THE BOLD.
 
Dah heshima kwako mkuu THE BOLD umefanya usiku huu kumkumbuka kanali Muammar Gaddafi.... Eeh mwenyezi mungu mfanyie wepesi mja wako kwa yale yote aliokukwaza na mpumzishe kwa amani.
 
pamoja mkuu The Bold. plz ni tag ukidondosha sehemu ya tatu na zinazoendelea. kwani kwangu umekua msaada mkubwa sana katika secta ya chakula cha ubongo. na nina kundi la watu nyuma yangu wanafaidika na hizi makala zako murua maana kama nilivyowahi kukwambia mtaani naitwa TEACHER kwa sababu yako.
 
Back
Top Bottom