Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Mh! Ndugu umepigiliwa msumari wa inch sita ama?!
66a83351c959d2b2d7315f1507d4d5d2.jpg
 
Uchumba sugu siku hizi ndo fasheni, mwanaume anakwambia bado hajajipanga!

Mwanaume wa hivo ni kumuacha bila kumwambia yaani unamgeuza mshkaji hata siku anakwambia NAKUPENDA LAKINI SIWEZI KUKUOA ,hata haiumi kivile sana sana unachekelea rohoni!
kwamba unamuacha polepole bila taarifa....kweli naona hupendagi ujinga
 
Mapenzi hayaana formula vile sio lazima watu waish kama wengine wanaavotaka kila mahusiano ni vile walivojipangia na maisha yao ya kimahusiano. Kuna watu wamekaa miaka na miaka na wamekuja kuoana ...so msijaribu kuwakatisha tamaa wale waliokaa mda mrefu pamoja ndivo walivojiwekea na zaidi hatuez ishi maisha wote sawa. Kila wapenz wana utaratibu wao aka katiba yao. Tusiishi kwa mazoea.
Endea kujipa moyo kwenye hamna.....nadhani hata wewe upo team uchumba sugu/tasa, na hutaki kukubali ukweli.....shtuka mapema....kwa mwanamke ni mbaya labda km wewe ni mkaka bac endelea kujipa moyo
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana

Dada unasubiri mpaka malaika waje wakuambie hapo unapoteza muda? Au umri mnasoma bado?
 
Mahusiano huzaliwa na kulelewa kama mtoto hadi yakomae
Mahusiano ni kama mbegu ipandwayo , inahitaji matunzo ili imee na kustawi hata ikomaze matunda
Mahusiano ya muda mfupi inabidi wahusika wawe wamejiridhisha beyond doubts kwamba tuanze hivihivi ila tutaleana! Tutapalilia magugu na kunyweshea huu mche!tutaulinda kwa hali na mali kwa mvua na kiangazi...Mahusiano kama haya yanawezekana JF tu huko kwingine ni ngumu kwakuwa ndani ya JF watu ni wakomavu na wanaojitambua

Hivi inawezekana eeh. Yaani huku kuna wanaume wanaandikaga vitu mpaka natamani niwaone live maana nakua nshafall in love na miandiko yao.
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Hapo ndio pagumu ishu ya umri haisubiri ndio maana wengi wanajitosa liwalo na liwe
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Mungu wangu Mtoto kaanza la kwanza na kamaliza la saba,Kweli love is blind unajionea kawaida tu mwenyewe, just pray & wait for unexpected to happen
 
Kona ya mabibo kuna petrol station...!!! Hahahahaha.

Ndoa ni taasisi ngumu, ila hpo pia tukumbuke kwmb tatizo sio ukosefu wa mapenzi, bali ni lack of friendship ndo inasababisha unhappy marriages. Ila ukweli ni kwamba HATUMSHIRIKISHI MUNGU WKT WA KUCHAGUA MUME/MKE. Wengi wanaolea genye na wanaangalia binti gani ni mzuri on bed. Baaaas..!!

Kma wanandoa wengi wangekuwa ni TRUE FRIENDS, namaanisha TRUE FRIENDS, ndoa ingekuwa ni a peaceful place to ease your pain na kuondoa stress zako za kila siku. Ila wengi hawana urafiki, na kwa wale wenye urafiki wengi wana urafiki wa kinafiki tu. Be true to ur man, be true to ur woman, utataman ungekuw umeoa toka ulipozaliwa na hutataman mwenzako afe.

Mbaya zaidi ni kwamba mkiwa marafiki sn, ikitokea mmoja ametangulia mbele ya haki, utaishi kwa shida sana.
 
1. MUNGU
2. TRUE FRIENDSHIP

ahsante
 
Back
Top Bottom