Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Mwaka wa 7 aisee R.I.P endelea kusubiria meli airport
 
Duh! Mwaka wa saba hata kwao hujulikani?
Ni hatua gani ya maisha sasa miliyopo ie Bado wanafunzi au tayari mlishamaliza shule?
 
Wako pia hayuko mbali ni muda tu haujafika kama hayuko JF au pale kazini kwako, yuko mahali pengine kona ya mabibo! Vumilia yuaja...! Nakuombea

Mkuu naona hapa maombi yanamlenga moja kwa moja mzee wa Mabibo, aka Rais wa Makapuku aka Bitoz!
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Pole sana Dada miaka 7 sio mchezo! but jitafakari na uchukue maamuzi sahihi juu ya mustakabali wa maisha yako ya baadae isijekuwa anakupotezea muda tuu wakati ww umri unaenda; mwanamme na mwanamke in tofauti yy anaweza kuona at any age but ww chance ya kuolewa inazizid kupungua kadri umri unavyokwenda
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana

Mwaka wa 7 aisee R.I.P endelea kusubiria meli airport

Duh! Mwaka wa saba hata kwao hujulikani?
Ni hatua gani ya maisha sasa miliyopo ie Bado wanafunzi au tayari mlishamaliza shule?

Pole sana Dada miaka 7 sio mchezo! but jitafakari na uchukue maamuzi sahihi juu ya mustakabali wa maisha yako ya baadae isijekuwa anakupotezea muda tuu wakati ww umri unaenda; mwanamme na mwanamke in tofauti yy anaweza kuona at any age but ww chance ya kuolewa inazizid kupungua kadri umri unavyokwenda
Kuna shida mahali, mahusiano ya miaka saba bila kujua kwao na pengine bila mtoto! Wanaokujua ni marafiki tuu ambao kiuhalisia ni watu baki...walau angekuwa keshakutambulisha kwao kungekuwa na chembe ya tumaini
Kuna uwezekano kabisa yuko kwenye ndoa ama la hapendi kukuoa ila hataki kukuacha, anasubiri ujiongeze na ipo siku akijitoa fahamu anaweza kukutamkia haya.....NAKUPENDA SANA LAKINI HATUTAWEZA KUFUNGA NDOA
Mapenzi ni uwekezaji wa muda vitu na hisia! Imagine seven good years umewekeza hapo ukitegemea hapo ndio makazi yako ya kudumu na sio nyumba ya kupanga kwamba kuna siku mkataba utaisha na utatakiwa kuhama! Kuna maumivu makali sana ukija kugundua ukweli ni tofauti na uhalisia
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Mim nilkua nae for good ten years na kwao alintambulisha lkn kujpanga kuja om ndo kujipanga..nkapata mwngn withn a year katangaza nia nikasepa... Shtuka best
 
Uchumba sugu siku hizi ndo fasheni, mwanaume anakwambia bado hajajipanga!

Mwanaume wa hivo ni kumuacha bila kumwambia yaani unamgeuza mshkaji hata siku anakwambia NAKUPENDA LAKINI SIWEZI KUKUOA ,hata haiumi kivile sana sana unachekelea rohoni!
 
Back
Top Bottom