Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
tehe tehe tehe teheyuko mahali pengine kona ya mabibo
tehe tehe tehe teheyuko mahali pengine kona ya mabibo
Amina mkuutunapozungumzia hizi habari wengi wetu tutakimbilia kuwanyooshea vidole wanawake lakini kuna wanaume pia wana hizo tabia![]()
Ndoa na mahusiano ni taasisi moja kubwa sana! Walioko kwenye mahusiano kwa sasa no matter mnapendanaje wengi wenu hamtaoana! Wakwenu wapo na wengine saa hii nao wakiota ndoto kama za kwenu
Ndoa bila kujali imani zetu ni kiunganishi cha kiroho kisihia na fikra za ndani kabisa, ndoa ni mwanzo wa msingi unaokuja kujengewa kuta imara
Kiroho ndoa yako ipo! Mtu wako yupo! Mahusiano yako yapo! Ambayo yatakuja kuwakutanisha bila kutumia nguvu na kulazimisha vitu au hata kutumia nguvu za giza
Mabinti msibebe mimba kama sababu ya ndoa, wazazi na walezi msipange fumanizi ili kuhalalisha ndoa za mkeka, wandugu msitumie ushawishi wenu nguvu ya fedha na ahadi za kazi nk ili ndoa ifungwe
Kufungwa kwa ndoa ni jambo la kwanza na wanandoa kudumu kwenye ndoa na kuishi maisha ya mafanikio ni kitu kingine kabisa
Wala hakuna haja ya kupoteza muda na fedha kwenda kwa wanajimu wa nyota na watabiri ati kuona kama mtaweza kuishi pamoja
Utabiri na unajibu hutoa majibu ya jumla tu kutokana na hesabu za nyota na majira ya nyakati, ni vitu vinavyobadilika kila wakati
Jipange na maisha huku ukijibidiisha na kazi, ukiwa na hakika kwamba wako sahihi uliyepangiwa atakuja katika muda sahihi uliopangwa na nguvu iliyo juu yetu sote
Ndoa nyingi zimevurugika na kuharibika kabisa kwa sababu ya kulazimisha mambo...!!!ndoa imeonekana ni taasisi ngumu kwa ajili ya kulazimisha mahusiano...! Kila jambo lina mahali pake Mtu wake na wakati wake!
Soon tutapata couples zilizokutana/kutanishwa na JF! Utashangaa na kujiuliza imekuwaje? Makutano ya mtandaoni! Ni kwa vile ndivyo ilivyopangwa iwe! Tuwaombee, nawe waombee pia! Wako pia hayuko mbali ni muda tu haujafika kama hayuko JF au pale kazini kwako, yuko mahali pengine kona ya mabibo! Vumilia yuaja...! Nakuombea![]()
![]()
![]()
Uchumba sugu siku hizi ndo fasheni, mwanaume anakwambia bado hajajipanga!
Mwanaume wa hivo ni kumuacha bila kumwambia yaani unamgeuza mshkaji hata siku anakwambia NAKUPENDA LAKINI SIWEZI KUKUOA ,hata haiumi kivile sana sana unachekelea rohoni!

Ni vizuri wakati unasubiri kuwa na kitu cha kuku keep busy! Huyo wa miaka saba wanapeana kampani wakati wanasubiri wenza wao wajee!!!That's too much lakini endelea kujitafakari

Mahusiano huzaliwa na kulelewa kama mtoto hadi yakomae
Mahusiano ni kama mbegu ipandwayo , inahitaji matunzo ili imee na kustawi hata ikomaze matunda
Mahusiano ya muda mfupi inabidi wahusika wawe wamejiridhisha beyond doubts kwamba tuanze hivihivi ila tutaleana! Tutapalilia magugu na kunyweshea huu mche!tutaulinda kwa hali na mali kwa mvua na kiangazi...Mahusiano kama haya yanawezekana JF tu huko kwingine ni ngumu kwakuwa ndani ya JF watu ni wakomavu na wanaojitambua
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Hahahaaaaa1Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
anasubiri Boeing Ubungo!Mwaka wa 7 aisee R.I.P endelea kusubiria meli airport
Mapenzi hayaana formula vile sio lazima watu waish kama wengine wanaavotaka kila mahusiano ni vile walivojipangia na maisha yao ya kimahusiano. Kuna watu wamekaa miaka na miaka na wamekuja kuoana ...so msijaribu kuwakatisha tamaa wale waliokaa mda mrefu pamoja ndivo walivojiwekea na zaidi hatuez ishi maisha wote sawa. Kila wapenz wana utaratibu wao aka katiba yao. Tusiishi kwa mazoea.
ndiyoo...!JF???
I wnt to marry u lkn sasa unanizingua kwa sababu unajua nakupenda snmarry me![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
!!!
Acha tu nilikaa na my first luv good seven yrs mpk ndugu wanamjua ndani ya mwaka nikaolewa na mwingine!Uchumba sugu siku hizi ndo fasheni, mwanaume anakwambia bado hajajipanga!
Mwanaume wa hivo ni kumuacha bila kumwambia yaani unamgeuza mshkaji hata siku anakwambia NAKUPENDA LAKINI SIWEZI KUKUOA ,hata haiumi kivile sana sana unachekelea rohoni!
I wnt to marry u lkn sasa unanizingua kwa sababu unajua nakupenda sn
sikuzingui bwana!Kama hunitaki uniambie tu mapema![]()
![]()
![]()
![]()
sikuzingui bwana!