Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Kuna kitu kimoja cha muhimu sana watu tunashindwa kukijua,,,ambacho ni lengo la sisi kuishi hapa duniani,,, kitu muhimu sana kwa maisha ya binadamu ni furaha na amani,,, tunaenda shule kusoma ili tupate elimu ili ije itusaidie kutupa furaha na amani,, tunafanya kazi ngumu ili tupate pesa then mwisho wa siku tupate furaha na amani,,, USIKUBALI kumpa mtu dhamana yako ya furaha na amani,,, narudia tena epuka kabisa kitu kitakacho kunyima furaha maana utakuwa mtumwa wa kujitakia so tusi force love kwa ajiri ya amani na furaha yetu hapa duniani,,, tujikubali sisi ni wa thamani sana na tuna stahili kupendwa na kuheshimiwa!!!!
 
Wauuu nilikuwa sijui ..itakuwa nyota gani hii ...
Hii hapa
ef6ef53536540155fd5b49d540d74888.jpg
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
unasubiri nini maana hapo unapoteza tu muda! Mwishowe atakufanya single mumy wa kupumzikia. Kimbia.
 
Daah, Mshana umegusa kinachojiri upande wangu
Unaweza kufunguka hapa au ukaja kule kwa waziri mkuu ila kama ni habari ambayo inaweza kuwa msaada na tahadhari kwa wengine please share
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Unaswampa bado
 
Yaani miaka 7 umeshachokwa. Subiri utaisikia harusi yake na mwanamke mwingine. Ninakushauri chapa lapa. Ingia usoni mwa Mungu akupe mume. Huyu siyo mume material. Utakuja kulia.
 
Mungu wangu Mtoto kaanza la kwanza na kamaliza la saba,Kweli love is blind unajionea kawaida tu mwenyewe, just pray & wait for unexpected to happen
Tulianza tukiwa chuo 1st yr now in 4 yrs tumemaliza chuo na wote tunafanya kazi nzuri tu, ila huyu bwana hana mpango kanisaa tho wrote no under 30yrs may be he is too young but Kwa msichana umri unapepea
 
Back
Top Bottom