Kamsemo kapya kameibuka kwenye Sensa

Wamepita kwetu cha ajabu sijawaona na sare maalum kama ilivyotangazwa! Hapo ndo serikali dhaifu inapoonekana!

Inawezekana ufisadi umefanyika maana nami nawaona wanapita bila sare kama ilivyotangazwa ktk media, wakija kwangu nawaambia wakavae sare kwanza.
 
Tunakoelekea ni kubaya sana....itafikia wakati dini itahusishwa hata na kupiga kura..."Hatupigi kura sababu mgombea si ......dini yangu"nani ametufikisha hapa?
 
Mimi niko safarini na kwangu sijaacha mtu. Naikosa sensa bila kupenda.
 

Ohooo BAGAH mi nnao watoto wa kusingiziwa..mwingine nlimuacha nairobi wakati nasoma..wengine labda leo usiku anaeza tungwa...au watarajiwao hawahesabiwi ata kama una uhakika??!
 
Last edited by a moderator:
kuweni na subira, sensa ni siku saba, kila karan ana eneo lake ambalo anatakiwa alimalize ndan ya hizo siku. So kama hujahesabiwa leo kuna kesho pia
 
Sijawaona wakiwa na uniform, halafu kitambulisho cha kichina!
 

...ninayo ya mkaa ya umeme niliamua kuiuza kutokana na umeme wa kutoaminika

Hah hah! BAK honestly wewe umehesabiwa lakini itabidi urudiwe ... umejieleza .. wakati hapo jibu lilikuwa ... ndio au hapana.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…