Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,918
- 3,466
Nashukuru sana mkuu hakika umenipa chakula cha ubongo..i salute you and i wish you well!Kujibu swali lako Dr. Duniani kuna taasisi mbili zinazohusika na maswala ya kifedha na uchumi taasisi hzo ni International Monetary Fund (IMF) na World Bank (WB) taasisi hzi zinaongozwa na money policy act (MPA) ndani ya MPA kuna mfumo unaoitwa Global financial system (GFS) mfumo huu unamilikiwa na Rothschild family kumekuwa na fikra ya kuwa Rothschild family ndio wamiliki wa Bank kubwa kubwa ikiwamo WB , IMF na Federal Reserve System japo wengi wanajua ni Federal Reserve bank lakini ukweli ni Federal Reserve System huku bank ikiwa ni Bank of America (FRS ) ni mfumo tu unaoendesha bank hzo ambapo unaendeshwa na sheria ya federal reserve system act ya mwaka 1913
Rothschild si wamiliki wa banks hzo bali wanamiliki mfumo wa GFS unaotumika kwenye banks nying duniani kuelewa vizuri ni kama leo MAX malipo wanamfumo wao wa maxcom mfumo unaotumika kufanya malipo kwa huduma mbalimbali so ndio mfumo wa GFS unavyofanya kazi
Money policy act (MPA) ndio mwongozo wa centro banks zote duniani na kazi ya centro bank duniani ni
1 print money
2 control supply of money
3 Set the Reserve Requirement
4 Influence Interest Rates
5 Engage in Open Market Operations
6 Control inflation
Hii ndio kazi ya CB zote duniani kuhusu kushuka kwa thamani ya fedha au uchumi
Kwanza unatakiwa kujua hakuna mahusiano ya thamani ya fedha na uchumi japo wengi wanajua kuna mahusiano ya vtu hv lakini ukweli ni kwamba hakuna wakati formula ya uchumi wa ndani ni
MV=PY
M=Money suppy
V=Velocity of circulation
P=price level
Y=National income
Wakati formula ya kushusha au kupandisha thamani ya fedha ni vitu hv
1 INFLATION
2 INTREST RATES
3 Current-Account Deficits
4 Public Debt
5 . Terms of Trade
6 . Political Stability and Economic Performance
Kutokana na kutokuwa na mahusiano hayo ndio unaona dola ya US kuna fedha duniani zimeizidi thamani kama Euro,paund,dinar ya oman pia ukiangalia uchumi wa US na uchumi ya Omani ni vichekesho leo kama kungekuwa na mahusiano ya uchumi na thamani ya fedha basi leo fedha ya Japani ,China zingekuwa ni moja ya sarafu zenye nguvu kubwa duniani na USD ndio ingekuwa fedha yenye thamani kuliko zote
Kuna kitu kinaitwa Balance of trade na ambayo mfumo wake ndio unakwenda kwenye mfumo wa uchumi mkuu moja kwa moja yani GDP
GDP = C + I + G (Ex - Im)
C = Consumer spendng
I= Investment spendng
G= Govement spendng
Ex= Export
Im=Import
Sasa kuhusu uchumi wetu Tanganyika na thamani yetu ya fedha kushuka au kuteteleka aidha kuna vitu viwili
1 Wataalamu wetu wameshindwa kutumia maarifa (Ufahamu) wao vizuri (kwani kwa binadamu kuna vitu vitatu
(A) Utashi (B) Akili ( C) Ufahamu
Sasa Akili ni matumizi mazuri ya ufahamu ambao mara nying unapatikana kwa uzoefu au kwa kwenda shule
2 Labda wataalamu wetu hawajui kupigana vita hii ya kiuchumi na kifedha
Duniani kuna vita tatu
1 Vita vya silaha na majeshi
2 Cyber war(Vita vya mifumo ya technologia ya habari na mawasiliano)
3Economic war (Vita vya kiuchumi)
Vita vya kiuchumi ndio vita inayopiganwa sasa duniani kuliko vita vingine vyote unavijua zipo mpaka mbinu za kimafia za kupigana vta hii ya kiuchumi
ambazo zipo njia 6 za kupadisha uchumi na fedha
Matola jibu lako ni wanapokuchejia dola iliyoexpire kwanza unachenjiwa chini ya exchange rate ya siku hyo kama ni dola mia ni sh 200,000 ww kwa fedha yako ya zamani utachengiwa chini ya laki mbili then wanazipeleka Zanzibar fedha za zamani huko wanapewa wageni au wazungu wanaorudi makwao wanarudi nazo US
mwenye swali anaweza uliza kwani JF ndio sehemu pekee ambapo hakuna bodi ya mikopo hapa unapata elimu bure
Mkuu MALCOM LUMUMBA unaweza kujazia nilichosahau kuweka hapa
brazuca Paprika k_dizle Juma chief MNANSO mtimkav Dux_1234 LIKE Niku ADD Kalamu Yangu
Kujibu swali lako Dr. Duniani kuna taasisi mbili zinazohusika na maswala ya kifedha na uchumi taasisi hzo ni International Monetary Fund (IMF) na World Bank (WB) taasisi hzi zinaongozwa na money policy act (MPA) ndani ya MPA kuna mfumo unaoitwa Global financial system (GFS) mfumo huu unamilikiwa na Rothschild family kumekuwa na fikra ya kuwa Rothschild family ndio wamiliki wa Bank kubwa kubwa ikiwamo WB , IMF na Federal Reserve System japo wengi wanajua ni Federal Reserve bank lakini ukweli ni Federal Reserve System huku bank ikiwa ni Bank of America (FRS ) ni mfumo tu unaoendesha bank hzo ambapo unaendeshwa na sheria ya federal reserve system act ya mwaka 1913
Rothschild si wamiliki wa banks hzo bali wanamiliki mfumo wa GFS unaotumika kwenye banks nying duniani kuelewa vizuri ni kama leo MAX malipo wanamfumo wao wa maxcom mfumo unaotumika kufanya malipo kwa huduma mbalimbali so ndio mfumo wa GFS unavyofanya kazi
Money policy act (MPA) ndio mwongozo wa centro banks zote duniani na kazi ya centro bank duniani ni
1 print money
2 control supply of money
3 Set the Reserve Requirement
4 Influence Interest Rates
5 Engage in Open Market Operations
6 Control inflation
Hii ndio kazi ya CB zote duniani kuhusu kushuka kwa thamani ya fedha au uchumi
Kwanza unatakiwa kujua hakuna mahusiano ya thamani ya fedha na uchumi japo wengi wanajua kuna mahusiano ya vtu hv lakini ukweli ni kwamba hakuna wakati formula ya uchumi wa ndani ni
MV=PY
M=Money suppy
V=Velocity of circulation
P=price level
Y=National income
Wakati formula ya kushusha au kupandisha thamani ya fedha ni vitu hv
1 INFLATION
2 INTREST RATES
3 Current-Account Deficits
4 Public Debt
5 . Terms of Trade
6 . Political Stability and Economic Performance
Kutokana na kutokuwa na mahusiano hayo ndio unaona dola ya US kuna fedha duniani zimeizidi thamani kama Euro,paund,dinar ya oman pia ukiangalia uchumi wa US na uchumi ya Omani ni vichekesho leo kama kungekuwa na mahusiano ya uchumi na thamani ya fedha basi leo fedha ya Japani ,China zingekuwa ni moja ya sarafu zenye nguvu kubwa duniani na USD ndio ingekuwa fedha yenye thamani kuliko zote
Kuna kitu kinaitwa Balance of trade na ambayo mfumo wake ndio unakwenda kwenye mfumo wa uchumi mkuu moja kwa moja yani GDP
GDP = C + I + G (Ex - Im)
C = Consumer spendng
I= Investment spendng
G= Govement spendng
Ex= Export
Im=Import
Sasa kuhusu uchumi wetu Tanganyika na thamani yetu ya fedha kushuka au kuteteleka aidha kuna vitu viwili
1 Wataalamu wetu wameshindwa kutumia maarifa (Ufahamu) wao vizuri (kwani kwa binadamu tuna vitu vitatu
(A) Utashi (B) Akili ( C) Ufahamu
Sasa Akili ni matumizi mazuri ya ufahamu ambao mara nying unapatikana kwa uzoefu au kwa kwenda shule
2 Labda wataalamu wetu hawajui kupigana vita hii ya kiuchumi na kifedha
Duniani kuna vita tatu
1 Vita vya silaha na majeshi
2 Cyber war(Vita vya mifumo ya technologia ya habari na mawasiliano)
3Economic war (Vita vya kiuchumi)
Vita vya kiuchumi ndio vita inayopiganwa sasa duniani kuliko vita vingine vyote unavijua zipo mpaka mbinu za kimafia za kupigana vta hii ya kiuchumi
ambazo zipo njia 6 za kupadisha uchumi na fedha
Matola jibu lako ni wanapokuchejia dola iliyoexpire kwanza unachenjiwa chini ya exchange rate ya siku hyo kama ni dola mia ni sh 200,000 ww kwa fedha yako ya zamani utachengiwa chini ya laki mbili then wanazipeleka Zanzibar fedha za zamani huko wanapewa wageni au wazungu wanaorudi makwao wanarudi nazo US
mwenye swali anaweza uliza kwani JF ndio sehemu pekee ambapo hakuna bodi ya mikopo hapa unapata elimu bure
Mkuu MALCOM LUMUMBA unaweza kujazia nilichosahau kuweka hapa
brazuca Paprika k_dizle Juma chief MNANSO mtimkav Dux_1234 LIKE Niku ADD Kalamu Yangu
Mkuu izzo bado nasubiri majibu ya maswali yangu.Mkuu swali lako ni zuri sana na majibu yake ni marefu sana nitakuja na jibu lako kwa urefu coz inabidi tuanze kuchambua kuanzia tulipo potea kuanzia miaka ya 1985 na mbaya zaidi 2014 kumekuwa na tatizo juu ya watalamu wetu wa maswala ya kifedha na uchumi tumeacha soko ndio liamue thamani ya huduma au bidhaa baada ya mahitaji ndio yaamue thamani ya bidhaa au huduma
yani unanilazimisha kusifia chenye kasoro hiv wewe zimo??Wewe acha kuhidhihaki pesa ya Tanzania nyie ndio watu mnaoidhihaki nchi, kukejeli na kudharau viongozi. Mkishikwa eti oh oh oh mara viongozi wanawaonea wanatumia mabavu kumbe sijui dikteta uchwara kumbe ni nyinyi wenyewe sasa kwa mfano wewe uongozi ukija kukuchukua kwa mahojiano kuhusu hiki ulichoandika utasema umeonewa em fanya haraka ufute hii comment haraka haraka. Maxence Melo alitiwa nguvuni sababu ya wapumbavu wachache kama ninyi. Futa hii comment chap chap ukaanzishe uzi jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi. Si unafahamu kwamba KAZA ROHO. HAPA KAZI TU.
Wameshaona thamani ya pesa ya nchi yetu ni ndogo kwakuwa wanaitengeneza wao hivyo wanajua hatutawasumbua chochoyePesa ya Tanzania inatengenezwa Ujerumani lakini chakushangaza tuna mahusiano nao kidogo sana! Na sijui ni kwa nini? Simaniishi tujipendekeze kwao La hasha! Ila ikiangalia Vitu walivyowekeza hapa kwetu ni Vichache sana ukilinganisha na China pamoja Japan!
Mkuu kumbuka hata majangili wanatengeneza fedha na kujaribu kuziingiza kwenye mzunguko hata marekani mpaka Leo wanapambana na kuzuia fedha bandia kuingizwa katika mzunguko wao kazi nyingine ya kikosi cha secret service si kumlinda rais wa marekani peke yake pia na kuhakikisha federal reserved system FRS ya marekani inakuwa safe and secure secret service walisha wai kukamata mabilion ya fedha bandia katika godawn huko Colombia
kama nilivyo sema hapo mwanzo kampuni hizi zote zinakuwa controlled by the government pia kila kampuni inakuwa na material ya utengenezaji wa zile karatasi inakuwa ni top secret au classified kwa kampuni husika na ndo kitu kinachofanya kampuni kupewa tenda kwani isingekuwa hvyo kumbuka kuwa kuna watu wanatengeneza fedha bandia pia utakiwa kujua kinacholindwa si fedha bali makaratasi ya kutengeneza fedha
kuhusu ss kutengeneza fedha zetu hapa tunaweza bt kuna vitu unatakiwa kujiuliza kama tunaweza? ?
1 je thamani ya fedha yetu nani atakuwa anaicontrol kulinganisha na fedha za wenzetu kwani tunaweza kuwa tunaprint tuuuuu mifedha mfano Zimbabwe kuna mpaka noti ya laki moja
2 je tuna technology ya kutengeneza fedha zetu ili watu wasiweze kucopy na kutengeneza zao na kuziingiza kwenye mzunguko
3 maswala ya kifedha duniani yanakuwa controlled by IMF na WB bt kuna nchi hazipo kwenye mfumo wa kinyonyaji wa IMF mfano Iran na china tatizo lake linakuja pale unapotaka kufanya international transaction kwani bank zako zinakuwa hazipo kwenye mifumo ya kibenk zingine mfano ilifikia kipindi ukitaka biashara Iran itakulazimu uende na fedha kwani bank zao zilikuwa hazipo katika mfumo wa mabanki mengine so huwezi kufanya wire transaction

Kampuni za Wayahudi ndio deal zao wanapanga kila kitu...
Majibu ya maswali yako mengi tayali nimeshajibu mkuu pitia thread kuanzia mwanzo kujibu kifupi niImebidi nirudie mara mbli nipate kuelewa....swali langu je kipi kinafanya thaman ya pesa kupanda? kama sio kuprint ovyo je tufanyeje pesa yetu iwe na thaman kubwa.. umesema zimbambwe wana noti ya laki 1 lkn haina thamn sisi kwetu tuna not kubwa ni elf 10 je kuwa na noti ndogo ndo kupanda thamn au hali ikoje?? Pia nashukuru umetufungua maana mm huwa nkiwa habari za utengenezaji pesa najkuta nasemehe kujiulza maana huwa sipati majawabu.
na hzo karatasi napenda kufahamu huwa wanapewa na serikali hzo kampun au wanazitengeneza wenyew hzo kampun? kama wanaztengeneza wenyew ina maana wapo wataalaam wanaojua inakuwaje wakitoa siri??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi sitaki kuamini kwamba mia tano ya noti ilitengenezwa ujerumani mana haina tofauti na majani ya kisamvu
[emoji15] [emoji15] ..uvuvi kilimo na mifugo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe acha kuhidhihaki pesa ya Tanzania nyie ndio watu mnaoidhihaki nchi, kukejeli na kudharau viongozi. Mkishikwa eti oh oh oh mara viongozi wanawaonea wanatumia mabavu kumbe sijui dikteta uchwara kumbe ni nyinyi wenyewe sasa kwa mfano wewe uongozi ukija kukuchukua kwa mahojiano kuhusu hiki ulichoandika utasema umeonewa em fanya haraka ufute hii comment haraka haraka. Maxence Melo alitiwa nguvuni sababu ya wapumbavu wachache kama ninyi. Futa hii comment chap chap ukaanzishe uzi jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi. Si unafahamu kwamba KAZA ROHO. HAPA KAZI TU.