Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Nadhani ni maamuzi tu ya serikali kuendelea kumtukuza mwl Nyerere ila uwezekano wa kubadili upo mfano ni ile dolar 20 ya Marekani ambayo imebadilishwa picha
Tulikuwa na noti zenye picha ya mwinyi but kwa maslahi ya taifa ikaonekana hamna ulazima wa kila rais aingiae nadarakani awekwe kwenye not ama sarafu za Tz.......just uamuzi
 
Hakika Mr Izzo we ni hatari kweli, hongera kws uchambuzi makinifu, nimesoma na nimeelewa mengi sana, jamii forum ni kisima cha kila kitu, pia muuliza swali hasante sana. Sasa huyu Izzo, sijui unafanya kazi gani ila natamani ungepewa nafasi pale BoT basi ungesaidia mengi. Be blessed
 
Duu ku expire pesa, very interesting yaani ingekuwa hapa bongo tungeshangaa jinsi watu wangekuwa wanakimbizana na masandalusi kuziwaisha benki, make kuna watu wana pesa zao na wameziweka tu katika mi sulphate wanavyojua wao bila kuangalia ni muda gani watazitumia.

Unanikumbusha kisa kimoja huko Arusha ambapo wakati wa upanuzi wa barabara ya Arusha-Moshi kwa ajili ya maandalizi ya kuweka double road mzee mmoja alikuwa amechimba shimo ndani kwake ambapo alikuwa akidumbukiza pesa kila siku kutokana na mauzo ya maziwa alipokuwa ameenda kwenye biashara zake na kutokana na ubishi wake baada ya kukataa kubomoa nyumba yake kwa hiari tingatinga likabomoa nyumba wakati wa kutoa flow ya nyumba pesa nyingi sana zilipatikana kiasi cha milioni 14 watu mbalimbali walijishindia
 
Nmekuelewa ndugu naomba niambia njia ya kimafia wanayotumia wenzetu kujiweka juu pesa yao au uchumi wao.....

je kuna world hackers hawa waliweza kuhack had mfumo wa CIA je hivyo viwanda vya pesa vp ishindikane kupata formula? je imewekwa kwenye makaratsi au kichwan? lkn camera pia watu wana weza kuhack wamejiwekea ulinzi gan wa kimtandao ishindkane
Ndugu kwa vile umezungumzia CIA ina maana unamaanisha USA kwanza nataka kuwambia CIA hawausiki na chochote na maswala ya financial au Uchumi ndani na nje ya US wenzetu kila taasisi inakazi na majukumu yake kuna taasisi zinaitwa( big 5+1 ) ambazo ni CIA,FBI,NSA,Homeland Security na Secret Service japo kuna taasisi zingine ambazo zinatengeneza kitu kinachoitwa United States Intelligence Community ambazo ni muunganiko wa intelligence zote ambazo zipo 16 lakini kuna moja imeongezeka na kuwa 17

Sasa ktk taasisi inayohusika na Fedha ndani ya US ni Secret Service ambao majukumu yake ni kulinda viongozi wa kitaifa na family zao pia na kuhakikisha Federal reserve inakuwa safe and secure so wenye kuhusika na fedha ni Secret Service si CIA na wafanyakazi wengi wa U.S. Department of the Treasury ni Secret Service kwani jengo la US Treasury lipo karibu na Ikulu ya US

Kuhusu viwanda vya fedha ndani ya US vipo viwili ndani ya marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing
Kiwanda cha Washington cha( tour and visitor centre) chenye uwezo wa kutengeneza kiasi cha dollar million 28 par hour na ndio fedha zinazotoka pale nying ndo zinaingia wenye nzunguko dunian na pia wameweka expire date ya ela yao ili kuweza kujua ni kiasi gani cha fedha kipo katika mzunguko duniani muda ni miaka 10 tu hela inakuwa imexpire kuhusu Ulinzi wa viwanda hvyo nadhani kila mtu duniani anajua Secret Service wanamlinda nani na wako vipi ktk taasisi zote 17 Secret Service ndio wamepewa jukumu la Ulinzi wa mtu mwenye ndugu ya mamlaka na ushawishi wa kiuchumi na kijeshi nadhani mpaka hapo utajua ni ulinzi wa Clearance level gani nazungumzia kuhusu siri au jinsi ya kuchanganya hizo fomula ni top secret si kila mtu au mfanyakazi anaweza kuna na access ya kujua hilo mfano leo ni kama fomula ya kuchanganya soda ya Caca cola ilivyo kinacholindwa si material au fedha kinacholindwa ni formula ya kuchanganya hayo material na security features ambazo zinakuwa attached kwenye karatasi la kutengeneza fedha au kwa jina lingine wanaita makaratasi yenye thamani

Kwa East Africa kuna kiwanda kipo Kenya japo si cha kutengeneza fedha au kiwanda cha kuprint pesa bali ni branch ya kiwanda cha De La Rue
British security printing, papermaking and cash handling systems company ambacho makao makuu ni Basingstoke, Hampshire, United Kingdom ambao wana branch katika nchi za Kenya, Sri Lanka na Mailta kazi ya hizo branch ni kutengeneza
Bank cheques
Driving licences
Passports
Postage stamps
Tax stamps
Traveller's cheques
Vouchers
The Debden Security Printing Ltd printing facility, kinachomilikiwa na De La Rue, ambao wanatengeneza fedha za nchi kama 150 duniani ikiwamo fedha ya KENYA na fedha ya Uingereza
tinkanyarwele
 
Ndugu kwa vile umezungumzia CIA ina maana unamaanisha USA kwanza nataka kuwambia CIA hawausiki na chochote na maswala ya financial au Uchumi ndani na nje ya US wenzetu kila taasisi inakazi na majukumu yake kuna taasisi zinaitwa( big 5+1 ) ambazo ni CIA,FBI,NSA,Homeland Security na Secret Service japo kuna taasisi zingine ambazo zinatengeneza kitu kinachoitwa United States Intelligence Community ambazo ni muunganiko wa intelligence zote ambazo zipo 16 lakini kuna moja imeongezeka na kuwa 17

Sasa ktk taasisi inayohusika na Fedha ndani ya US ni Secret Service ambao majukumu yake ni kulinda viongozi wa kitaifa na family zao pia na kuhakikisha Federal reserve inakuwa safe and secure so wenye kuhusika na fedha ni Secret Service si CIA na wafanyakazi wengi wa U.S. Department of the Treasury ni Secret Service kwani jengo la US Treasury lipo karibu na Ikulu ya US

Kuhusu viwanda vya fedha ndani ya US vipo viwili ndani ya marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing
Kiwanda cha Washington cha( tour and visitor centre) chenye uwezo wa kutengeneza kiasi cha dollar million 28 par hour na ndio fedha zinazotoka pale nying ndo zinaingia wenye nzunguko dunian na pia wameweka expire date ya ela yao ili kuweza kujua ni kiasi gani cha fedha kipo katika mzunguko duniani muda ni miaka 10 tu hela inakuwa imexpire kuhusu Ulinzi wa viwanda hvyo nadhani kila mtu duniani anajua Secret Service wanamlinda nani na wako vipi ktk taasisi zote 17 Secret Service ndio wamepewa jukumu la Ulinzi wa mtu mwenye ndugu ya mamlaka na ushawishi wa kiuchumi na kijeshi nadhani mpaka hapo utajua ni ulinzi wa Clearance level gani nazungumzia

Kwa East Africa kuna kiwanda kipo Kenya japo si cha kutengeneza fedha au kiwanda cha kuprint pesa bali ni branch ya kiwanda cha De La Rue
British security printing, papermaking and cash handling systems company ambacho makao makuu ni Basingstoke, Hampshire, United Kingdom ambao wana branch katika nchi za Kenya, Sri Lanka na Mailta kazi ya hizo branch ni kutengeneza
Bank cheques
Driving licences
Passports
Postage stamps
Tax stamps
Traveller's cheques
Vouchers
The Debden Security Printing Ltd printing facility, kinachomilikiwa na De La Rue, ambao wanatengeneza fedha za nchi kama 150 duniani ikiwamo fedha ya KENYA na fedha ya Uingereza
tinkanyarwele
Mkuu hujamjibu vzuri swali lake anauliza njia hizo 6 zinazotumika na nchi baadhi kupandisha thamani ya pesa yao ikiwemo njia za kimafia kama ulivyoeleza awali
 
Acha uongo wayahud kwenye pesa hawapo ...wanao control ni hao waingereza wamarekani na canada...

na kila mtu na ujanja wake kuifanya pesa yake iwe na thamani....
Umeniquote bila Sababu mkuu Maana huna Conclusion yeyote next time kama unapinga weka wamiliki na asili zao...be Careful sio kila kitu lazima ukisemee na kichwani huna ulijualo
 
HESHIMA kwenu.
namshukuru muuliza swali, na wote mliotoa elimu kupitia michango yenu. Naomba kujua je mtu anawezaje kujiimarisha kiuchumi?
 
Ahsanteni sana, nimejua nisilokuwa nikilijua
 
Jf.Mambo Zenu.Hivi Ni Nchi Gani Inayotutengenezea Mabulungutu Ya Hela Tunazotumia Nchi Zote Dunian?i Au Kuna Utaratibu Gani Wa Nchi Kupata Pesa Zake? Wataalam Wa Masuala Ya Fedha Nitoeni Matongotongo.Asanteni.
 
Big up Kuwa mbunifu mkuu naona baada ya sizonje kutaifisha fedha huku mtaani unatafuta njia mbadala ya kutengeneza fedha nyingine kaza mkuu utashindabongoland ni hatari

Ukifaulu ni pm mkuu
 
Wabongo Bwana Wakiona Hawana Maarifa Juu Ya Jambo Fulani Wanatafuta Mbinu Ya Kuvunga Ili Wakwepe Kutoa Majibu
 
Back
Top Bottom