misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 13,643
- 9,339
Mbona vifurushi vya bando walipandisha na wamekataa kurudisha kama mwanzo? Wenyewe wezi tulazima walalamike kwasababu watu wakisusia kutuma miamala, kampuni za simu zinapungua mapato sana. walikuwa wanapiga sana pesa kwenye maMPESA huko, sasa watu kama hawatumi tena ndani ya wiki tu hapa wamepoteza mabilioni, bila hata sababu ya msingi. walitakiwa kushirikishwa halafu waweke reasonable rate ambayo haitaleta maumivu. reasonable rate ikiwepo na kwa watu wengi zitakusanywa nyingi. excessive rate ikiwepo watu watakatwa nyingi ila watumiaji watakuwa wachache hivyo utapata kidogo kuliko ile rate ya chini. akili kumkichwa.