Kampuni ya Samsung yazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8

Kampuni ya Samsung yazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8

Apple kutumia oled sio sifa au apple hawaoni hill
ila sana maana yako sisemi kuwatetea ila naongea ukweli Kwani we unahisi oled Kwa nini unaihitaji au ukisikia oled tu unajua Ni vioo bora sana.
Apple wanatumia hekima katika maamuzi wanayofanya na sio kukurupuka tu kuiga mwenzio nini anafanya kama mpaka tecno wana oled apple watashindwa?
Hapana IPO hivi.

Amoled Ni active matrix organic light emitting diode ambapo ufanyaji wake wa Kazi Ni differ na LCD ambapo katika amoled kila pixel Ina generate light kivyake Ni kama tu bulb tudogo sana tunatotoa mwanga tofauti hivyo amoled haihitaji backlight kama LCD.

Amoled vioo vyake kwanza vina tumia much power almost ten times ya LCD pindi vinapoonyesha rangi nyeupe ambapo Ni pigo Kwa iOS.

Ni vigumu kuona picha katika amoled katika jua either uongeze mwanga.

Uangavu wa amoled unakwenda na muda jinsi muda unavyokwenda ndivyo uangavu unapungua katika kifaa chako katika matumizi pia maisha ya kila Rangi za oled films hutofautiana life span cause life span ya oled films za red na green zinaishi zaidi kuliko blue hivyo kupelekea wakati Fulani kioo kutokuwa vizuri katika kuonyesha Rangi Kwa uzuri Kwa sababu kumbuka Ni organic materials ndio zimetumika na organic material zina life span kama sisi binadamu Ni organic material.

Kuna kitu pia kinaitwa burn in kwenye amoled ambapo pixel zake huungua kutokana na baadhi ya ui elements au niseme notifications Fulani kukaa Kwa muda mrefu katika kioo hivyo kioo kuwa na dots Fulani.

Amoled Ni ghali zaidi katika utengenezaji.

Kwa hivyo kampuni kama apple lazima wakae na kutafakari na sio tu kukurupuka.

Kuhusu fast charge nna iPhone 6 imekuja na charge yake Ina USB 2 moja inatoa 2.1A moja inatoa 1A nikitumia ya 2.1A within 30 minutes battery IPO full au unazumgumzia fast charge ipi au dk 1kukurupuka kubaya ndio maana simu zinalipuka ovyo na kushusha soko.

Ulivyosema poor resolution si kweli.
Hehehehhe aya msemaji wa iphone keshokutwa utakuja kusema iphone wanaweza kutengeneza fridge ila hawajaamua
 
Kila mtu ana hitaji lake la simu.....Mimi binafsi ni mpenzi wa iOS...nimevutiwa nayo na naona ni bora kuliko devices zingine....

Vivo hivyo kwa wapenzi wa Androids fans.....

So ubishi wa kushindania simu ipi ni bora ni ubishi wa kitoto tena watoto wa shule.....kwa kuwa mtu mzima mwenye akili timamu anakwenda kununua simu kulingana na mahitaji yake........mpenzi wa Androids anaona inamfaaa kwa matumizi yake na mpenzi wa iOS atanunua hiyo kulingana na mahitaji yake......

Sasa sijui hayo malumbano yanatokea wapi mpaka watu wanafikia hatua ya kutoana akili..........

Kama wewe unavutiwa na screen design ya Samsung kuna mwingine huwa inamuumiza macho.....vivo hivyo kwa wapenzi wa iPhone
 
Acha kubugujika povu ivya. Kwa sasa apple anashindana na techno au nokia. Samsung kampiga mbali sana ndyo maana mpaka sasa wamepigwa butwaa hawajatoa iphone 8 mpaka sasa.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Usilolijua ni usiku wa kiza. Hii post yako ni tosha kuonesha kuwa hujui kitu kweny Apple vs Sam. Eti Apple wamepigwa na butwaa!! 😀 kwa kipi? 6GB rams au? Apple wana miezi yao ya kurelease devices zao. Do your homework.... unataka watu waongee facts wakati we mwenyewe huna!!

By the wat Apple ana loyal customers. Customers wa Samsung ndio wananunua simu kwa sababu ya brand name. Isitoshe, its samsung who is competing with Tecno, Oppo, Meizu, Chui ili kudustinguisha between the android phones.

Unanunua S8 kwa milioni 2 wakati ipo cheap option with same features tena nzuri na with same OS. Samsung is insecured
 
Hao ni sawa na mashabiki wa ukawa au ccm, hawana facts bali hisia. Unaweza kumuonyesha mtu ubaya halisi wa chama cheke bado atakataa. Dogma syndrome ni kukataa facts zilizowekwa mbele yako. Ni hatari.
Mkuu si umsapoti mwenzako kwa facts basi, au wewe ndo hao unaopigia mfano? Wazee wa kutipukiliwa na simu 😀
 
Maelezo yako yooote umeelezea jinsi OLED inavyofanya kazi.

Na kwa maelezo yako hayo hujaonyesha kua OLED au super AMOLED ni mbaya kuliko LCD.

Watu wengi wanailaum apple kwa kutumia tech ya kizamani kwenye display wewe unaitetea.

Kuna tetesi kua iphone 8 itakuja na OLED display na curved display, bado utakuja kutetea. Apple hawana fast charge technology kwenye sim zao labda hiyo inayokuja ya iphone 8.

Ni sawa na siasa za Tanzania. Ukiwa mwana ukawa huoni ubaya wa ukawa, hata ukionyesha ubaya wao bado utakataa kua huo sio ubaya, sawa sawa na ukiwa mwana ccm huoni na hutaki kukubali ubaya wa ccm, dogma!

Mimi hua naangalia ubora na tech mpya kwenye sim kabla sijanunua. Sinunnui sim kwa ajili ya jina. Kwa sasa samsung ana offer vitu unique sokoni kuliko sim zote. Leo samsung wahamia USB-C na apple bado wako USB B alafu mtu aniambie apple wanakitu kipya cha kuoffer.

Kitu kingine sio kweli kua iphone 6 unaichaji nusu saa imejaa, huo ni uongo wa wazi kabisa, tafta watu wa kuwadanganya.
Sikia sio ukisikia new tech basi unakurupukia ndio maana nikasema Oled ni vioo vizuri lakini lazima ufikirie dis advantages zake pia kwa hiyo apple wana busara juu ya hilo.
Ndio maana nilikueleza dis advantages zake kwa akili zako wewe ulijua ni vioo bora sana ambavyo havina kasoro kaka wewe unachowaza sasa apple walifikiria miaka nyuma kuhusu bidhaa zao.Kwa sababu ni kazi yao na wana designers wao kwa hiyo hawakurupuki kama samsung walivyojiaibisha kwenye note 7.
 
Hata ivo lakini notifications should not take much of rams. Au wewe unaonaje?
si notification tu mkuu, bali app moja inarun mara tatu au mbili, mfano unakuta whatsapp tatu zote zinafuction wakati mmoja kwa namba tatu tofauti.

Mkuu mi ningekuwa na hela na nna madeveloper, yaani hapa idea yangu nlokuwa nayo kichwani ni very weird kuhusu izi devices. Yaani dream yangu ni kutengeza OS moja ambayo itakuwa tishio in terms of functions. Yaani full functioning desktop OS into Mobile phone. Hakuna haja ya kuwa na laptops wala desktop pc, hio simu tu inatosha all you have to do is connect the phone to the display and you get the full desktop experience. You can also get a desktop experience within the display of the smartphone.

microsoft ndio anafanya hii project, soon surface phone ikitoka itakuwa ni simu ya aina hio.

Hili nalo ni tatizo. Mkuu nina Note 5 hapa model ya t-mobile inantesa itabidi unisaidie kwanza kama utaweza. Ishu ni kwamba hii simu hotspot haikai on, ukiswitch inafanya kama inataka kukaa on then hapo hapo inakaa off. kisha haikai 3g, 2g wala edge, kitu inapiga 4g mwanzo mwisho hata kama mtandao hauna 4g itakaa 4g mwanzo mwisho. ukienda kuchange, utaona settings zimekaa 3g lakini kwenye signal bar 4g ipo pale pale. Kama una idea kwenye hii ishu nipe maujanja yoyote.

Hii note 5 kiukweli mna subway surfer na traffic racer tu. siitumii zaidi ya kupiga na msgs. Cha kushangaza hii simu nakuta screen inafreeze tu. yaani unaweza kujibu meseji, after that ikafreeze apo apo. natia lock screen then unlock bado imefreeze hamna response. mpaka nitie tena lock afu nikae kidogo ndo ina unfreeze. Ukweli android devices mimi zinanidissapoint hapa. Big specs but not efficient at all

wanawadanganya wateja wao hio mitandao ya marekani h+ wanaita 4G na wanatoa order kiwandani zitengenezwe hivyo simu zinazouzwa kwenye mitandao yao, hivyo huna ujanja hapo labda ubadili rom.

kuhusu hotspot jaribu hotspot controll ya chainfire ipo playstore,

hizi simu za mitandao ya nje huwa haziaminiki pengine hizo ni simu mbovu ambazo zimerudishwa na wazungu huko zina matatizo wanakuja kuzidump huku. vyema ukinunua, nunua global version
 
Mbona Apple wanatumia USB C katika mac kitambo tu. Halafu watu wakaja kuiponda. Sasa imekuwa new tech?
Au curved screen ni big issue? Usability yake ni ipi? for me i think curved screen ni more of THE LOOK feature rather than USABILITY. Subiri Apple wakija na curved screen they will make it better, uzuri wa Apple hawakurupuki kwenye hizi tech, wewe anza kutumia, yeye anatizama how its been used and how can he improve it, then anakuletea tech unaanz kukuta kuwa tech fulani imeanza kupata umaarufu kupitia Apple kumbe ipo zamani tu.

Kama utapeleleza, Apple ni leader wengine ni followers. Kivipi? Apple is trying to force the market to adapt to the changes that Apple wants. Wewe tizama tu Apple amekuja na Plus series, Samsung nae huyo kaingia. Samsung ana some sort of insecurity. Tayari ana Note series then why do you need the Plus models?

Iphone 8 haiji na curved screen isipokuwa itachukuwa nafasi kubwa kwenye body.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hata kipindi samsung ana note series mlisema apple hana mpango na mascreen makubwa.

Apple akakaa na kutafakari kuwa huo ni ujinga,sasa kaacha ujinga simu zina vioo vikubwa tu sasa.
 
Binafsi nimetumia sony, samsung na sasa nina iphone sijaona mabadiliko makubwa kiivo watu wanayoyasemea hapa ila tu utofauti wa op sys
 
Kwa upande wa innovation bado naona wanatuibia angalia simu kama NOKIA 8 ambayo ni bei nafuu huku ikiwa na dual camera with zeiss lens pia imekuja na technology ya "bothie" yaani unaweza kupiga selfie huku camera ya nyuma ikichukua video

Pia nokia imekuja na technology ya liquid-cooling pipe ambayo imeunganishwa na processor ili simu isipate moto yaani unaweza kucheza game huku downloading ikiendelea au kutazama movie kwa saa 2 huku simu ikiwa kama ipo kwenye fridge

Kuhusu durability ndio wenyewe nokia 8 wameprotect hii simu kwa shield maalumu (graffiti shield)ili hata kama inadondoka basi ile mashine isiharibike

Kwangu mimi naona Samsung note 8 ni gimmick phone

Yan hyo teknolojia ya bothie ni mpya kwa nokia? mbona apple wanayo muda sana miaka zaid ya mi3 iliyopita kuanzia kwenye 5s?
 
si notification tu mkuu, bali app moja inarun mara tatu au mbili, mfano unakuta whatsapp tatu zote zinafuction wakati mmoja kwa namba tatu tofauti.

microsoft ndio anafanya hii project, soon surface phone ikitoka itakuwa ni simu ya aina hio.

wanawadanganya wateja wao hio mitandao ya marekani h+ wanaita 4G na wanatoa order kiwandani zitengenezwe hivyo simu zinazouzwa kwenye mitandao yao, hivyo huna ujanja hapo labda ubadili rom.

kuhusu hotspot jaribu hotspot controll ya chainfire ipo playstore,

hizi simu za mitandao ya nje huwa haziaminiki pengine hizo ni simu mbovu ambazo zimerudishwa na wazungu huko zina matatizo wanakuja kuzidump huku. vyema ukinunua, nunua global version
Unabadili rom vipi? Yaani nimekosa kuiuza hii simu kwa sababu haikai 3g tu ah 😀

Itakuwa vizuri Microsoft wakifanya ivo mkuu. Kama alivofanya kwa tablet. Ilitakiwa tablet iwe ni kama alternative ya laptop, lakini Apple wamefanya ni kama toy tu ya kubrowse internet na Samsung wao ndio wakaua kabisa, wakaifanya simu hasa. Ningewashauri MS wakae watulie kwenye OS yao vizuri hasa masuala ya User interface na stability. Wasije wakatuletea kama zile nokia zenye windows. Na design ya device nayo i wish iwe compelling. Waachane na ubilisi wa big screens ambazo they force you to use 2 hands
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] hata kipindi samsung ana note series mlisema apple hana mpango na mascreen makubwa.

Apple akakaa na kutafakari kuwa huo ni ujinga,sasa kaacha ujinga simu zina vioo vikubwa tu sasa.
Mkuu, naamini kama Steve jobs angekuwa hai tusingeona Plus series kabisa. Steve jobs goal ni simu ambayo unakuwa comfortable nayo mkononi. Tatizo sio big screen, tatizo ni big phone. Apple walitakiwa kuzidisha screen zao bila kuongeza ukubwa wa simu by just reducing the bezels. Wanakuja na iphone 8 ambayo i think itakuwa same size na 7 but screen itakuwa bigger. Km ikitoka as concepts show, utafahamu what i mean.

Napenda Apple devices ila kwa Plus models waniache.

Sasa Samsung wana Note na Plus models na wao. Sababu ya kuwa na zote ni ipi? Kwamba moja unatumia pen nyengine hutumii?

Some issues can be solved with a software na sio hardware.
 
Unabadili rom vipi? Yaani nimekosa kuiuza hii simu kwa sababu haikai 3g tu ah 😀

Itakuwa vizuri Microsoft wakifanya ivo mkuu. Kama alivofanya kwa tablet. Ilitakiwa tablet iwe ni kama alternative ya laptop, lakini Apple wamefanya ni kama toy tu ya kubrowse internet na Samsung wao ndio wakaua kabisa, wakaifanya simu hasa. Ningewashauri MS wakae watulie kwenye OS yao vizuri hasa masuala ya User interface na stability. Wasije wakatuletea kama zile nokia zenye windows. Na design ya device nayo i wish iwe compelling. Waachane na ubilisi wa big screens ambazo they force you to use 2 hands
ni kazi kidogo inabidi ujie ku root, kueka custom recovery, na kueka hizo custom rom, kila kitu cha simu yako utakipata hapa

T-Mobile Samsung Galaxy Note5 Forum on XDA Developers
 
Mkuu, naamini kama Steve jobs angekuwa hai tusingeona Plus series kabisa. Steve jobs goal ni simu ambayo unakuwa comfortable nayo mkononi. Tatizo sio big screen, tatizo ni big phone. Apple walitakiwa kuzidisha screen zao bila kuongeza ukubwa wa simu by just reducing the bezels. Wanakuja na iphone 8 ambayo i think itakuwa same size na 7 but screen itakuwa bigger. Km ikitoka as concepts show, utafahamu what i mean.

Napenda Apple devices ila kwa Plus models waniache.

Sasa Samsung wana NOTE na Plus models na wao. Sababu ya kuwa na zote ni ipi? Kwamba moja unatumia pen nyengine hutumii?

Some issues can be solved with a software na sio hardware.

Mkuu ukweli ni kwamba huwezi shindana na wengine kwa kuwa primitive,hata jobs angekuwepo ingekuwa ni hivi hivi,kwani seven(s) ina tofauti gani kiumbo na 6+???

Samsung ni wafanya biashara wazuri,wanaohakikisha unapata kitu chochote kwao,hizo zimu ni tatu tofauti kwa kila kitu,Ila jina na mwaka zimetoka.

Hawa apple wanaringia royal customer wao ambao wanawauzia simu kwa bei yoyote tu wanajipangia,ni jambo zuri Ila sio wakati huu wa s8,8+,note 8,ndio maana wameona wailete 8s ikiwa hivyo ktk concept,wakija tofauti tu.imekula kwao.
 
Nimezungumzia Plus models, hakuna 7s in the mean time, kuna 7 na 7s plus. Usiwe mshabiki wa liverpool kila mwaka ni mwaka wake anakwambia.

Mpaka hapo naona umeongea what you don't know. 8s?

Halafu aliekudanganya kama eti baada ya Apple kuona S8 ilivo wameamua kuja na hio 8S nani?

Hivi mnafuatalia japo kidogo haya mambo? 8 haijatoka eti kisa Sam katoa 8, iphone kila mwaka anatoa new model kama hujui sasa. Hatizamwi samsung katoa nini. Just FYI concept ya 8 ime circulate zamani kabla Sam 8 haijatoka. Tena Sam hutoa mwanzo devices zae kwa haraka ili watu wazinunue haraka haraka akihofia Apple akitoa huenda Sam 8 zake zikaduwaa.

By the way rumours has it that this year kutatolewa 7s na 7 plus, then iphone 8 itatoka kwa Ajili ya kutimiza 10 years old for iphone.

Naomba pia unambie, what that is offered in note 8 you cant get in Sam 8?

Kuwa na screen kubwa sio maendeleo. Kama shida ni kioo, tablet za Sam zipo zenye phone functionality, mbona mtu hategemei hio tablet kuwa ndio simu kama ishu ni big screen?
 
OK,maelezo mengi mkuu Ila.

Jibu la swali lako ni,
S pen.huwezi ipata ktk s8 wala s8+.
 
Back
Top Bottom