Kampuni ya Samsung yazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8

Writing on a screen as u do on a sheet.
:D :D :D SAM anajua kuwazuga. Well a finger can write on a screen too.... By the way who send a text message by taping the S pen out, then write on the screen then click send?

Dont be blinded
 
Habari wana JF kama wewe ni mfuatiliaji wa teknolojia pamoja na tovuti yetu ya Tanzania Tech lazima utakuwa unajua kuwa Samsung Jana ilitoa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8. Na kukusogezea karibu leo Tanzania Tech tunakuletea sifa za simu hiyo mpya iliyotoka hivi karibuni...

  • Ukubwa wa Kioo - inch 6.3 3840x2160 chenye teknolojia ya Super AMOLED curved Infinity Display with 18.5:9 ratio
  • Ukubwa wa Simu - 162.5mmx74.6mmx8.5mm
  • Ulinzi - Iris scanner/fingerprint scanner
  • Processor - Samsung Exynos 8895 CPU
  • RAM - 6GB
  • Kamera ya Nyuma - Zikombili zenye 12MP dual rear-facing camera,
  • Kamera ya Mbele - 8MP front-facing camera
  • Sehemu ya Kuchaji - USB-C connectivity,
  • Sehemu ya Kuchomeka Headphone - 3.5mm headphone jack
  • Mfumo wa Uendeshaji - Android 7.0 Nougat
  • Ukubwa wa Memory ya Ndani - 64GB pia ina sehemu ya memory card (microSD expansion)
  • Uwezo wa Battery - 3,300mAh battery yenye uwezo wa Fast charging, wireless charging support
  • Rangi - Midnight Black, Maple Gold, Orchid Grey and Deep Sea Blue colour
  • Bei 2,300,000 (Bei inaweza kubadilika kwa Tanzania)
KUMBUKA : Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Nasubiri itoke simu yenye camera kama ya Lumia 1020 au Nokia 808 PureView
 
:D :D :D SAM anajua kuwazuga. Well a finger can write on a screen too.... By the way who send a text message by taping the S pen out, then write on the screen then click send?

Dont be blinded

Blinded for what ndugu!!!we are using it for taking hint during any lecture & the like staf.finger are for simple texts.

Blinded arent those??? walioambiwa Tunazidi kupunguza unene wa simu,kwa kuondoa 3.5mm thik earpod jack,kisha kininginiza receiver kama kirungu chini ya simu .

Apple ndio wahuni sana kwa wateja wao.
 
Nimezungumzia Plus models, hakuna 7s in the mean time, kuna 7 na 7s plus. Usiwe mshabiki wa liverpool kila mwaka ni mwaka wake anakwambia.

Mpaka hapo naona umeongea what you don't know. 8s?

Halafu aliekudanganya kama eti baada ya Apple kuona S8 ilivo wameamua kuja na hio 8S nani?

Hivi mnafuatalia japo kidogo haya mambo? 8 haijatoka eti kisa Sam katoa 8, iphone kila mwaka anatoa new model kama hujui sasa. Hatizamwi samsung katoa nini. Just FYI concept ya 8 ime circulate zamani kabla Sam 8 haijatoka. Tena Sam hutoa mwanzo devices zae kwa haraka ili watu wazinunue haraka haraka akihofia Apple akitoa huenda Sam 8 zake zikaduwaa.

By the way rumours has it that this year kutatolewa 7s na 7 plus, then iphone 8 itatoka kwa Ajili ya kutimiza 10 years old for iphone.

Naomba pia unambie, what that is offered in note 8 you cant get in Sam 8?

Kuwa na screen kubwa sio maendeleo. Kama shida ni kioo, tablet za Sam zipo zenye phone functionality, mbona mtu hategemei hio tablet kuwa ndio simu kama ishu ni big screen?

weee jamaa unachekesha kwel iv kwa haraka haraka s8 na note 8 ziko sawa
 
weee jamaa unachekesha kwel iv kwa haraka haraka s8 na note 8 ziko sawa
Tofauti umbi na pen kwa haraka haraka....

Apple unaweza kusema they are offering the big screen to iphone users na Plus models zao. But for samsung sifahamu bado note series na plus series yao. What are they tryna offer their users?
 
Wewe umevurugwa sio bure. .

Kwahiyo apple kuwapendelea kioo wateja wake ni habari,Ila Samsung kuwapendelea kioo,pen,na ram kubwa sio habari.

Unajua wakati mwingine watumiaji wa bidhaa za apple huwa mnakuwa kama waduanzi hivi.
 
Nimevurugwa mie au wewe? Aliekwambia kama Apple kutoa big screen ni habari nani?

Umechanganyikiwa mkuu. Nimesema kuwa unaweza kusema Apple wame wa offer their users a big screen. Kwa sababu mara zote Sam ndio anakuwa na bigger display than apple. Sasa 7 plus ni kwa wale wanaopenda bigger display.

Eti Ram 6 gb ndio issue.... wangekuwa wanafanya apps na os zirun efficiently basi kusongekuwa na haja ya 6gb rams.

Hujiulizi mbona specs za Apple ni ndogo lakini kila kitu kina run smoothly?

Unajua android fan boys mnafurahisha sana! Meiuzu ametoa simu ina display mbili... nayo ni big thing in android universe!

eti S4 katika tangazo lao wanajisifia kuwasha TV kama vile ni big issue wakati Nokia kitambo tu walikuwa wanafanya
 
bado nasema wewe umevurugwa.hivi kazi ya 3gb ram ktk iPhone 7ni ipi mbona safari bado ina lag ukiringanisha na blowser???eti specification ndogo ipi zaidi ya ram peke yake???
 
bado nasema wewe umevurugwa.hivi kazi ya 3gb ram ktk iPhone 7ni ipi mbona safari bado ina lag ukiringanisha na blowser???eti specification ndogo ipi zaidi ya ram peke yake???
Safari ina lag? How? Mana tangu niwe na iphone 3gs sijawahi ona lag kwenye safari.... are you sure unatumia real ios device na sio clone inayorun android with ios UI? :D

Mi nna note 5, nipe namba yako nkuoneshe how it freezes. Simu ata haijajaa lakini full kufreeze. Remind me of note 5 specs....

4GB rams na 8 CPU and still lags with just few apps.... ahhhh android

Apple RAM ndogo lakini ina run smoothly.... i bet you dont know why!!
 
Acha ubishi mkuu,safari haiko smooth.

Haya ndio madhara ya kutojaribu vingine umejifungia mno.

Nisijue sababu mimi ndugu???umeishawahi jaribu window phone unajua ni kwanini pia iko hivyo???
 
Acha ubishi mkuu,safari haiko smooth.

Haya ndio madhara ya kutojaribu vingine umejifungia mno.

Nisijue sababu mimi ndugu???umeishawahi jaribu window phone unajua ni kwanini pia iko hivyo???
Windows phone thr biggest failure? Wamewalaghai Nokia wash...nzi wale!

Sijawahi kupata ishu ya lag kwenye safari hata moja. The only issue with Safari ni kuwa ukichange tab tu ile ya mwanzo ina stop mpaka ufungue tena. Kama unaexperience hii basi sio lag, wameitengeza iwe ivo.

Nakwambia ivo kwa sababu iphone has been my phone for looong time, its only this year nimenunua note 5 ambayo ni ya T-mobile. Full freezing.... nimekwambia nipe ur digits nikutumie video yake ujionee. 4GB ram in note 5 inafreeze tena ata haijatiwa vitu, nyimbo 7 na app ya insta na 2 games tu inafreeze??? Why?

Msihadaike na specs, tizama efficiency.

Apple anawapiga bao android phones kwa sababu ana design hardware zake mwenyewe na ios anaichezea yeye tu. Android os inatolewa na google then kila mtu anachokonoa atakavo. Tena isiwe na lag?

Samsung anauza simu jina tu, maana hao kina Xiami, oneplus wako sambamba nae. Sam anajaribu kustand out from other android phones na sio kwa Apple. Kama yeye ni kidume na anajiamini zaidi aunde os yake then ndio ashindane na Apple.

Kwani unafikiri Apple walishindwa kuweka izo 6gb ram?
Watu wanaenda na mahesabu, Apple wanatengeza kitu ambacho ni usable and efficient. Unaeka 6gb rams wakati mpaka simu inafika miaka 4 hukuwa na haja nazo faida zake ni zipi sasa?

Kama hii note 5 nlokuwa nayo eti specs ni 8 CPUs, kisha ina lag, cpu zote zinafanya nini kama wameshindwa kuzigaia task za kufanya? Apple mpaka leo ana dual cpu tu mana hakuina haja ya CPU nne wala nane kwanza.

Mi nakwambia ka macbook changu ni 4gb rams tu, lakini na run apps kamaza adobe na games kama za flight simulator vizuri tu. Lakini sijaona izi complex app kwenye ios na kwenye droid kiasi kwamba you will need 6gb rams.

Hizi specs ni kuwadanganya watu tu wavutiwe basi, next year sam atakuja na 8gb ram apple mara anabaki na 4!!
 
Back
Top Bottom