The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,070
Sio daftari tu. Iphone bado wanatumia technolojia ya zamani sana. No curved/infinity display, no OLED display, Low battery capacity, small screen size, LCD display have poor picture and power inefficiency, no fast charging technology nk.Ni wewe kuna ambao hawataki kubeba simu kama daftari,kila mtu na mapenzi yake.
Wakati teknolojia inaenda mbele na samsung wana3enda nayo, iphone bado wanatumia teknolojia za zamani alafu mtu aniambie iphone nzuri kuliko samsung. Sijawahi kushawishiwa kabisa.
Nimesikia Iphone 8 inaweza itatoka na curved display, watumiaji wa samsung tunayo hiyo display mwaka wa pili huu tunaelekea wa 3 alafu mtu aniambie iphone nzuri.
Mimi samsung washaniroga na midisplay yao hii.