Kampuni ya Samsung yazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8

Sio daftari tu. Iphone bado wanatumia technolojia ya zamani sana. No curved/infinity display, no OLED display, Low battery capacity, small screen size, LCD display have poor picture and power inefficiency, no fast charging technology nk.

Wakati teknolojia inaenda mbele na samsung wana3enda nayo, iphone bado wanatumia teknolojia za zamani alafu mtu aniambie iphone nzuri kuliko samsung. Sijawahi kushawishiwa kabisa.

Nimesikia Iphone 8 inaweza itatoka na curved display, watumiaji wa samsung tunayo hiyo display mwaka wa pili huu tunaelekea wa 3 alafu mtu aniambie iphone nzuri.

Mimi samsung washaniroga na midisplay yao hii.
Apple kutumia oled sio sifa au apple hawaoni hill
ila sana maana yako sisemi kuwatetea ila naongea ukweli Kwani we unahisi oled Kwa nini unaihitaji au ukisikia oled tu unajua Ni vioo bora sana.
Apple wanatumia hekima katika maamuzi wanayofanya na sio kukurupuka tu kuiga mwenzio nini anafanya kama mpaka tecno wana oled apple watashindwa?
Hapana IPO hivi.

Amoled Ni active matrix organic light emitting diode ambapo ufanyaji wake wa Kazi Ni differ na LCD ambapo katika amoled kila pixel Ina generate light kivyake Ni kama tu bulb tudogo sana tunatotoa mwanga tofauti hivyo amoled haihitaji backlight kama LCD.

Amoled vioo vyake kwanza vina tumia much power almost ten times ya LCD pindi vinapoonyesha rangi nyeupe ambapo Ni pigo Kwa iOS.

Ni vigumu kuona picha katika amoled katika jua either uongeze mwanga.

Uangavu wa amoled unakwenda na muda jinsi muda unavyokwenda ndivyo uangavu unapungua katika kifaa chako katika matumizi pia maisha ya kila Rangi za oled films hutofautiana life span cause life span ya oled films za red na green zinaishi zaidi kuliko blue hivyo kupelekea wakati Fulani kioo kutokuwa vizuri katika kuonyesha Rangi Kwa uzuri Kwa sababu kumbuka Ni organic materials ndio zimetumika na organic material zina life span kama sisi binadamu Ni organic material.

Kuna kitu pia kinaitwa burn in kwenye amoled ambapo pixel zake huungua kutokana na baadhi ya ui elements au niseme notifications Fulani kukaa Kwa muda mrefu katika kioo hivyo kioo kuwa na dots Fulani.

Amoled Ni ghali zaidi katika utengenezaji.

Kwa hivyo kampuni kama apple lazima wakae na kutafakari na sio tu kukurupuka.

Kuhusu fast charge nna iPhone 6 imekuja na charge yake Ina USB 2 moja inatoa 2.1A moja inatoa 1A nikitumia ya 2.1A within 30 minutes battery IPO full au unazumgumzia fast charge ipi au dk 1kukurupuka kubaya ndio maana simu zinalipuka ovyo na kushusha soko.

Ulivyosema poor resolution si kweli.
 
Maelezo yako yooote umeelezea jinsi OLED inavyofanya kazi.

Na kwa maelezo yako hayo hujaonyesha kua OLED au super AMOLED ni mbaya kuliko LCD.

Watu wengi wanailaum apple kwa kutumia tech ya kizamani kwenye display wewe unaitetea.

Kuna tetesi kua iphone 8 itakuja na OLED display na curved display, bado utakuja kutetea. Apple hawana fast charge technology kwenye sim zao labda hiyo inayokuja ya iphone 8.

Ni sawa na siasa za Tanzania. Ukiwa mwana ukawa huoni ubaya wa ukawa, hata ukionyesha ubaya wao bado utakataa kua huo sio ubaya, sawa sawa na ukiwa mwana ccm huoni na hutaki kukubali ubaya wa ccm, dogma!

Mimi hua naangalia ubora na tech mpya kwenye sim kabla sijanunua. Sinunnui sim kwa ajili ya jina. Kwa sasa samsung ana offer vitu unique sokoni kuliko sim zote. Leo samsung wahamia USB-C na apple bado wako USB B alafu mtu aniambie apple wanakitu kipya cha kuoffer.

Kitu kingine sio kweli kua iphone 6 unaichaji nusu saa imejaa, huo ni uongo wa wazi kabisa, tafta watu wa kuwadanganya.
 
Ni iPhone ipi hiyo inayotumia usb b?? Au huelewi hata ni kipi unaongelea. Pia iPhone 8 is expected to have 'end to end diplay' sijui hiyo ishu ya curved umeokotea wapi
 
screen haijalishi mkuu, resolution ndio ina matter, simu za sasa nyingi ni Quad HD na Full HD zina pixel nyingi kuliko vioo vya laptop vya kawaida, hivyo gpu pia itahitaji ram ya kutosha ku process pixel zote hizo.
Ahaa basi mi nlijua kwa ile 5 inch au 7 inch phone display haina pixel nyingi kama desktop monitor.

yap multi user ya simu inatumika muda mmoja na zikija notification za user mmoja unapata kwenye user mwengine kwa kupitia mlio au blink ya notification led.
Hata ivo lakini notifications should not take much of rams. Au wewe unaonaje?

yap ni kweli app za kawaida hazihitaji ram yote hiyo, nipe homework nitafute hio app kubwa

Ukiipata let me know nipate kuicheki na mimi, mana honestly kila nikitizama functions za hizi app nazikuta simple such a way you dont need that amount of rams. Note 8 ina 8GB rams wakati my mac in 4Gb rams tu na mna full functioning softwares wakati software za simu zote nnazozijua ni mini versions. Mfano excel ya tablet sio sawa na excel ya pc in terms of functions.

Mkuu mi ningekuwa na hela na nna madeveloper, yaani hapa idea yangu nlokuwa nayo kichwani ni very weird kuhusu izi devices. Yaani dream yangu ni kutengeza OS moja ambayo itakuwa tishio in terms of functions. Yaani full functioning desktop OS into Mobile phone. Hakuna haja ya kuwa na laptops wala desktop pc, hio simu tu inatosha all you have to do is connect the phone to the display and you get the full desktop experience. You can also get a desktop experience within the display of the smartphone.

kwa case ya samsung anayo Tabia ya kuweka bloatware nyingi, unakuta simu mpya tayari ina apps 50 au zaidi na zote huwezi kuzitoa kawaida, muda wote zipo open zinakula tu resource za simu.

Hili nalo ni tatizo. Mkuu nina Note 5 hapa model ya t-mobile inantesa itabidi unisaidie kwanza kama utaweza. Ishu ni kwamba hii simu hotspot haikai on, ukiswitch inafanya kama inataka kukaa on then hapo hapo inakaa off. kisha haikai 3g, 2g wala edge, kitu inapiga 4g mwanzo mwisho hata kama mtandao hauna 4g itakaa 4g mwanzo mwisho. ukienda kuchange, utaona settings zimekaa 3g lakini kwenye signal bar 4g ipo pale pale. Kama una idea kwenye hii ishu nipe maujanja yoyote.

Hii note 5 kiukweli mna subway surfer na traffic racer tu. siitumii zaidi ya kupiga na msgs. Cha kushangaza hii simu nakuta screen inafreeze tu. yaani unaweza kujibu meseji, after that ikafreeze apo apo. natia lock screen then unlock bado imefreeze hamna response. mpaka nitie tena lock afu nikae kidogo ndo ina unfreeze. Ukweli android devices mimi zinanidissapoint hapa. Big specs but not efficient at all
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Mimi hua naangalia ubora na tech mpya kwenye sim kabla sijanunua. Sinunnui sim kwa ajili ya jina. Kwa sasa samsung ana offer vitu unique sokoni kuliko sim zote. Leo samsung wahamia USB-C na apple bado wako USB B alafu mtu aniambie apple wanakitu kipya cha kuoffer.

Mbona Apple wanatumia USB C katika mac kitambo tu. Halafu watu wakaja kuiponda. Sasa imekuwa new tech?
Au curved screen ni big issue? Usability yake ni ipi? for me i think curved screen ni more of THE LOOK feature rather than USABILITY. Subiri Apple wakija na curved screen they will make it better, uzuri wa Apple hawakurupuki kwenye hizi tech, wewe anza kutumia, yeye anatizama how its been used and how can he improve it, then anakuletea tech unaanz kukuta kuwa tech fulani imeanza kupata umaarufu kupitia Apple kumbe ipo zamani tu.

Kama utapeleleza, Apple ni leader wengine ni followers. Kivipi? Apple is trying to force the market to adapt to the changes that Apple wants. Wewe tizama tu Apple amekuja na Plus series, Samsung nae huyo kaingia. Samsung ana some sort of insecurity. Tayari ana Note series then why do you need the Plus models?

Iphone 8 haiji na curved screen isipokuwa itachukuwa nafasi kubwa kwenye body.
 
Na hilo ndilo ukweli kabisa.
Apple uwa anachukua wengine walivyokurupukia anaviboresha vinakuwa na maana zaidi.
Mfano wireless earphones zilikuwepo kitambo lakini ona alivyotoa earpods zake zina functions bora sana.
Kama tablets zilikuwepo japo hazikuwa na uwezo but kulikiwa na palm tops, digital diaries lakini ona alivyotoa ipad akachange game.
Kama curved screen mbona apple alisha file patents zake zaidi ya miaka minne iliyopita lakini hajatengeneza mpaka sasa siku akitoa ndipo watu wataona kuwa its not just a curved display, its more than that.
Ona watu wanavyopapatikia na laps na monitors ambazo ni touch.
Apple mpaka leo hajatoa touchs laptops and monitors kwakuwa hajaona umuhimu wake.
Siku ilitoka macbook touch itakuwa not just touching but itakuwa na features ambazo zitakuwa na function ya ziada ya hiyo touch.
Samsung wako vizuri ila kuna mambo mengi wanayaweka kwenye simu ambayo siyo ya msingi ili mradi waonekana wana kitu kipya
 
Apple kutumia oled sio sifa au apple hawaoni hill
ila sana maana yako sisemi kuwatetea ila naongea ukweli Kwani we unahisi oled Kwa nini unaihitaji au ukisikia oled tu unajua Ni vioo bora sana.
Apple wanatumia hekima katika maamuzi wanayofanya na sio kukurupuka tu kuiga mwenzio nini anafanya kama mpaka tecno wana oled apple watashindwa?
Hapana IPO hivi.

Amoled Ni active matrix organic light emitting diode ambapo ufanyaji wake wa Kazi Ni differ na LCD ambapo katika amoled kila pixel Ina generate light kivyake Ni kama tu bulb tudogo sana tunatotoa mwanga tofauti hivyo amoled haihitaji backlight kama LCD.

Amoled vioo vyake kwanza vina tumia much power almost ten times ya LCD pindi vinapoonyesha rangi nyeupe ambapo Ni pigo Kwa iOS.

Ni vigumu kuona picha katika amoled katika jua either uongeze mwanga.

Uangavu wa amoled unakwenda na muda jinsi muda unavyokwenda ndivyo uangavu unapungua katika kifaa chako katika matumizi pia maisha ya kila Rangi za oled films hutofautiana life span cause life span ya oled films za red na green zinaishi zaidi kuliko blue hivyo kupelekea wakati Fulani kioo kutokuwa vizuri katika kuonyesha Rangi Kwa uzuri Kwa sababu kumbuka Ni organic materials ndio zimetumika na organic material zina life span kama sisi binadamu Ni organic material.

Kuna kitu pia kinaitwa burn in kwenye amoled ambapo pixel zake huungua kutokana na baadhi ya ui elements au niseme notifications Fulani kukaa Kwa muda mrefu katika kioo hivyo kioo kuwa na dots Fulani.

Amoled Ni ghali zaidi katika utengenezaji.

Kwa hivyo kampuni kama apple lazima wakae na kutafakari na sio tu kukurupuka.

Kuhusu fast charge nna iPhone 6 imekuja na charge yake Ina USB 2 moja inatoa 2.1A moja inatoa 1A nikitumia ya 2.1A within 30 minutes battery IPO full au unazumgumzia fast charge ipi au dk 1kukurupuka kubaya ndio maana simu zinalipuka ovyo na kushusha soko.

Ulivyosema poor resolution si kweli.
Mkuu nimependa maelezo yako maana hawa jamaa wanazindua note 8 wakati seven zinalipuka kila Siku what a shame nikanunue simu being Kali alafu ilipuke baada ya Siku chache
 
Mimi hii infinity display ndio inaniua kabisa.

Pia screen size, napenda sana masim makubwa.

Nashangaa mtu ananiambia iphone nzuri hata hua simuelewi. Watu ambao bado wanatumia LCD display, watu ambao bado hawana fast charge technology, watu wenye sim zina screen size kama nokia ya tochi, betri uwezo mdogo, hata sijui watanishawishi kwa lipi.

Mimi samsung wananiua kwa hii infinity diaplay. Hii sim nilikua naingoja.

Safi sana samsung.
Hayo ndo maisha uliyoyachagua, hata mimi ukinitajia haya makitu hata sikuelewi ila ukitaja iPhone hapo ndo kila kitu
 
fa7c1fbfe4382eb97200179d2d478854.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF kama wewe ni mfuatiliaji wa teknolojia pamoja na tovuti yetu ya Tanzania Tech lazima utakuwa unajua kuwa Samsung Jana ilitoa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8. Na kukusogezea karibu leo Tanzania Tech tunakuletea sifa za simu hiyo mpya iliyotoka hivi karibuni...

  • Ukubwa wa Kioo - inch 6.3 3840x2160 chenye teknolojia ya Super AMOLED curved Infinity Display with 18.5:9 ratio
  • Ukubwa wa Simu - 162.5mmx74.6mmx8.5mm
  • Ulinzi - Iris scanner/fingerprint scanner
  • Processor - Samsung Exynos 8895 CPU
  • RAM - 6GB
  • Kamera ya Nyuma - Zikombili zenye 12MP dual rear-facing camera,
  • Kamera ya Mbele - 8MP front-facing camera
  • Sehemu ya Kuchaji - USB-C connectivity,
  • Sehemu ya Kuchomeka Headphone - 3.5mm headphone jack
  • Mfumo wa Uendeshaji - Android 7.0 Nougat
  • Ukubwa wa Memory ya Ndani - 64GB pia ina sehemu ya memory card (microSD expansion)
  • Uwezo wa Battery - 3,300mAh battery yenye uwezo wa Fast charging, wireless charging support
  • Rangi - Midnight Black, Maple Gold, Orchid Grey and Deep Sea Blue colour
  • Bei 2,300,000 (Bei inaweza kubadilika kwa Tanzania)
KUMBUKA : Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

sijapenda position ya fingerprint hapo ndo sumsung walipozingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hilo ndilo ukweli kabisa.
Apple uwa anachukua wengine walivyokurupukia anaviboresha vinakuwa na maana zaidi.
Mfano wireless earphones zilikuwepo kitambo lakini ona alivyotoa earpods zake zina functions bora sana.
Kama tablets zilikuwepo japo hazikuwa na uwezo but kulikiwa na palm tops, digital diaries lakini ona alivyotoa ipad akachange game.
Kama curved screen mbona apple alisha file patents zake zaidi ya miaka minne iliyopita lakini hajatengeneza mpaka sasa siku akitoa ndipo watu wataona kuwa its not just a curved display, its more than that.
Ona watu wanavyopapatikia na laps na monitors ambazo ni touch.
Apple mpaka leo hajatoa touchs laptops and monitors kwakuwa hajaona umuhimu wake.
Siku ilitoka macbook touch itakuwa not just touching but itakuwa na features ambazo zitakuwa na function ya ziada ya hiyo touch.
Samsung wako vizuri ila kuna mambo mengi wanayaweka kwenye simu ambayo siyo ya msingi ili mradi waonekana wana kitu kipya
Na ndio maana kampuni nyengine zinapigwa bao na Apple. Touchscreen zilikuwepo zamani, nakumbuka kulikuwa na Sony ericson 1 hio ilikuwa touch kisha na physical keyboard ambayo inakunjuka. Lakini Apple alipokuja na touchscreen yake tu basi kamaliza watu. ukitaka kujua kama apple hakurupuki tu ametoa simu touchscreen kioo kikubwa eti haichukui video!!!! wakati kuna Nokia zinachukua video apo.

Apple anawatizama hawa wengine wanakuja na nini? kisha anatizama hii feature inatumiwa sana na kivipi, kisha wao wakiona kama hii ni usable basi wanaiboresha.

Huku kutaka sifa na kukurupuka ndio mwisho yanatokea ya note 7.

Ni kweli kabisa Samsung katika simu zake anaweka vitu ambavo sio vya msingi but ndio ivo aonekane tu ipatikane talking point against apple.

Mfano, S4 walikuwa na kupokea simu kwa kuwave, really? tena wameitoa kwenye tangazo la Apple vs Samsung sasa, eti mtu anawave simu inajipokea. Sijawahi kuona mtu akitumia hio feature kabisa 😀.

Apple wamekuja na USB type C, ikawa kelele kibao. Anti Apple wakaona eee hi ni talking point sasa. Haya Samsung kaeka kwenye s8 eti imeonekana big deal sasa wakati haijaja na any improvement.

Tim cook nae anazingua saiv..... Haya ma plus hayana faida 😀
 
Acha kubugujika povu ivya. Kwa sasa apple anashindana na techno au nokia. Samsung kampiga mbali sana ndyo maana mpaka sasa wamepigwa butwaa hawajatoa iphone 8 mpaka sasa.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Na ndio maana kampuni nyengine zinapigwa bao na Apple. Touchscreen zilikuwepo zamani, nakumbuka kulikuwa na Sony ericson 1 hio ilikuwa touch kisha na physical keyboard ambayo inakunjuka. Lakini Apple alipokuja na touchscreen yake tu basi kamaliza watu. ukitaka kujua kama apple hakurupuki tu ametoa simu touchscreen kioo kikubwa eti haichukui video!!!! wakati kuna Nokia zinachukua video apo.

Apple anawatizama hawa wengine wanakuja na nini? kisha anatizama hii feature inatumiwa sana na kivipi, kisha wao wakiona kama hii ni usable basi wanaiboresha.

Huku kutaka sifa na kukurupuka ndio mwisho yanatokea ya note 7.

Ni kweli kabisa Samsung katika simu zake anaweka vitu ambavo sio vya msingi but ndio ivo aonekane tu ipatikane talking point against apple.

Mfano, S4 walikuwa na kupokea simu kwa kuwave, really? tena wameitoa kwenye tangazo la Apple vs Samsung sasa, eti mtu anawave simu inajipokea. Sijawahi kuona mtu akitumia hio feature kabisa 😀.

Apple wamekuja na USB type C, ikawa kelele kibao. Anti Apple wakaona eee hi ni talking point sasa. Haya Samsung kaeka kwenye s8 eti imeonekana big deal sasa wakati haijaja na any improvement.

Tim cook nae anazingua saiv..... Haya ma plus hayana faida 😀
S8 imeichapa mbali iphone 7. Njoo na facts sio ushabiki tu. Iphone inauzwa kwa brand tu ila like ni kopo tu.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
S8 imeichapa mbali iphone 7. Njoo na facts sio ushabiki tu. Iphone inauzwa kwa brand tu ila like ni kopo tu.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
Hao ni sawa na mashabiki wa ukawa au ccm, hawana facts bali hisia. Unaweza kumuonyesha mtu ubaya halisi wa chama cheke bado atakataa. Dogma syndrome ni kukataa facts zilizowekwa mbele yako. Ni hatari.
 
Back
Top Bottom