Kampuni ya Samsung yazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8

Kampuni ya Samsung yazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8

Habari wana JF kama wewe ni mfuatiliaji wa teknolojia pamoja na tovuti yetu ya Tanzania Tech lazima utakuwa unajua kuwa Samsung Jana ilitoa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8. Na kukusogezea karibu leo Tanzania Tech tunakuletea sifa za simu hiyo mpya iliyotoka hivi karibuni...

  • Ukubwa wa Kioo - inch 6.3 3840x2160 chenye teknolojia ya Super AMOLED curved Infinity Display with 18.5:9 ratio
  • Ukubwa wa Simu - 162.5mmx74.6mmx8.5mm
  • Ulinzi - Iris scanner/fingerprint scanner
  • Processor - Samsung Exynos 8895 CPU
  • RAM - 6GB
  • Kamera ya Nyuma - Zikombili zenye 12MP dual rear-facing camera,
  • Kamera ya Mbele - 8MP front-facing camera
  • Sehemu ya Kuchaji - USB-C connectivity,
  • Sehemu ya Kuchomeka Headphone - 3.5mm headphone jack
  • Mfumo wa Uendeshaji - Android 7.0 Nougat
  • Ukubwa wa Memory ya Ndani - 64GB pia ina sehemu ya memory card (microSD expansion)
  • Uwezo wa Battery - 3,300mAh battery yenye uwezo wa Fast charging, wireless charging support
  • Rangi - Midnight Black, Maple Gold, Orchid Grey and Deep Sea Blue colour
  • Bei 2,300,000 (Bei inaweza kubadilika kwa Tanzania)
KUMBUKA : Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

I think i need this

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wa innovation bado naona wanatuibia angalia simu kama NOKIA 8 ambayo ni bei nafuu huku ikiwa na dual camera with zeiss lens pia imekuja na technology ya "bothie" yaani unaweza kupiga selfie huku camera ya nyuma ikichukua video

Pia nokia imekuja na technology ya liquid-cooling pipe ambayo imeunganishwa na processor ili simu isipate moto yaani unaweza kucheza game huku downloading ikiendelea au kutazama movie kwa saa 2 huku simu ikiwa kama ipo kwenye fridge

Kuhusu durability ndio wenyewe nokia 8 wameprotect hii simu kwa shield maalumu (graffiti shield)ili hata kama inadondoka basi ile mashine isiharibike

Kwangu mimi naona Samsung note 8 ni gimmick phone
 
Mimi hii infinity display ndio inaniua kabisa.

Pia screen size, napenda sana masim makubwa.

Nashangaa mtu ananiambia iphone nzuri hata hua simuelewi. Watu ambao bado wanatumia LCD display, watu ambao bado hawana fast charge technology, watu wenye sim zina screen size kama nokia ya tochi, betri uwezo mdogo, hata sijui watanishawishi kwa lipi.

Mimi samsung wananiua kwa hii infinity diaplay. Hii sim nilikua naingoja.

Safi sana samsung.
 
Sasa ndyo muda muafaka kuuza s8. Yangu. Anayetaka s8 anitafte nimpe yakwangu. Ila nimeipasua kwa nyuma kidogo. Accessories naa box vyote vipo.

‍♂️naenda zimbobo.
 
Sasa ndyo muda muafaka kuuza s8. Yangu. Anayetaka s8 anitafte nimpe yakwangu. Ila nimeipasua kwa nyuma kidogo. Accessories naa box vyote vipo.

‍♂️naenda zimbobo.
 
Mkuu unaweza ukatusaidia vitu vya ziada au innovations zozote ambazo zipo kwenye Apple (iPhone) ambazo hazipatikani kwenye simu nyingine?

Ndugu kama wewe ni mwenyeji wa mambo ya teknolojia za lazima utakuwa unajua kuwa mtu anapoongelea iPhone au Samsung anazungumzia vifaa viwili tofauti.....na utofauti huo ni kutokana na innovation kwa kila mmoja wapo......
 
Tusubiri kampuni itakayokuja na uvumbuzi mpya kabisa.

Haya mambo ya kuongeza RAM tu tumeshayachoka.
Mi nahisi km izi simu sasa zimefika mwisho. Watatuekea camera 4 kutudanganya. Marams kibao ambayo ukweli mi nashindwa kufahamu why.

Yaani viapplication vya simu vinahitaji 6gb rams? Mwenye uelewa anifahamishe kwanini hizi apps unakuta zinatake alot of space na alot of rams kuliko desktop softwares? Sijaona app ya simu ambayo ipo complex mifano ya photoshop yet inaekwa 6gb rams. Games nazo are not any where near PS2 graphics at all, yet utasikia ps2 mara ina 2gb rams... ni mifano tu. Mi nahisi wanatuchezea akili. Tunaambiwa simu ina octa core processors, perfomance muwa mtupu
 
1. kuna dolphin emulator, sd835 inacheza games nyingi za gamecube na nintendo wii. wii games ni nzuri kushinda ps2 na ilikuwa ni equivalent ya ps3 na xbox 360 japo ilizidiwa nguvu kidogo.

2. multiuser, unakuta simu moja ina user zaidi ya mmoja na zote zinafanya kazi kwa pamoja kila user ina whatsapp yake playstore yake etc mwisho wa siku hata hio 6GB haitoshi.

3. simu haina dedicated memory ya gpu, hivyo unapocheza games au kutumia graphics intensive apps gpu nayo inamega hapo hapo.

4. ni future proof una uhakika miaka 2 ijayo hata kukitokea kitu kizito simu itahandle
 
Mimi hii infinity display ndio inaniua kabisa.

Pia screen size, napenda sana masim makubwa.

Nashangaa mtu ananiambia iphone nzuri hata hua simuelewi. Watu ambao bado wanatumia LCD display, watu ambao bado hawana fast charge technology, watu wenye sim zina screen size kama nokia ya tochi, betri uwezo mdogo, hata sijui watanishawishi kwa lipi.

Mimi samsung wananiua kwa hii infinity diaplay. Hii sim nilikua naingoja.

Safi sana samsung.
Ni wewe kuna ambao hawataki kubeba simu kama daftari,kila mtu na mapenzi yake.
 
Back
Top Bottom