Watumiaji wa apple bwana! Hivi kujitengenezea Os ndo kigezo cha kufanya apple izidi Sam? Afadhali android ni ya google, mbona iPhone x ina amoled ambayo ni tech ya sam? Apple kuna vitu ana outsource japo anajitengezea OS. Sam ana outsource Os ila tech ya display na nyinginezo ni zake.
Mkuu umeelezwa vizuri tu hapo tena kwa pointi tupu,
Sio kwamba apple wana os yao ndio kigezo cha kuizidi Samsung hapana.
Apple devices zao perfomance yake ni nzuri kuanzia laptop zao mpaka simu na tablet zao yaani ipad.
Samsung kasitisha biashara ya laptop ulaya kisa soko linakwenda hovyo huku apple wao wakitesa tu.
Apple kama ukiwafuatilia vizuri ni kampuni ambayo hawana papara.
Ngoja nikupe mifano.
Apple hawashindwi kutoa octa core ila kwa nini hawajatoa?
Apple kwa nini wamechelewa kuwa na wireless charger?
Kwa nini apple pia wamechelewa katika oled screens?
Kwa nini apple kwenye ram anakuwa nyuma?
Lakini still wana compete katika soko na devices zao katika speed zinazidi za 6gb ram na octa core zaandroid?
Vitu ana vyo fanya samsung ni kuwapotosha watu,mkorea muache atengeneze vioo vya simu ila sio kulinganisha simu zao na apple.
Tazama feature za note 4 galaxy mfano.
Heart rate sensor.
Spo2-hii inapima kiasi cha oxygen katika haemoglobin.
gesture.
Na feature nyingine nyingi ambazo kimsingi zitapelekea kujaza simu,kufanya simu ichemke na kuwa fool watu ili wapigwe bei wakati feature zenyewe hazipo accurately.
Mfano galaxy s3 ikaja na face unlock ambayo inaweza kuwa tricked na picha ya mtumiaji kwenye karatasi na ikafunguka.
Kwa hiyo mkuu naamini siku zinavyokwenda samsung atazidi kujifunza zaidi mistake anazofanya.
Sijawahi ona apple and amekuja na vitu vya kitoto kama hivyo eti air gesture.
Au smart pause.
Kama apple angekuwa na papara na yeye angepachika lakininangalia sasa wangapi wanatumia hizo feature sijui heart beat rate,spo2 n.k.
Kwa hiyo Samsung naona bado wana safari ndefu ya kujifunza toka kwa apple hasa katika suala zima la hii biashara ya simu za mkononi.