1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,969
- 13,848
Wewe haupand basi?Tafuta ela nunua private vehicle hutajuta
Nina mpango wa kuwafungulia mashtaka. wamenikatia tiketi ya kieletronic nikatumiwa ujumbe kwenye simu kwa SMS bahati mbaya sikusoma SMS yote. Nimefika Dar napeleka madai kwa muhindi wangu ili anirudishie nauli yangu nakuta nauli imeandikwa TBR to Dar shs 100 (Mia moja) . Muhindi kagoma kunirudishia 50,000 niliyolipa akidai tiketi inaonyesha nimelipa sh 100.Nimeshaenda Latra wameniambia niende kesho. Shenzi sana hawaNaenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Mmh naona siku yako ilikuwa mbaya.Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
SawaTafuta ela nunua
Wewe boya ndio utakuwa ni chawa wa ABC na ndio maaana umekuja kutetea kwa suala ambalo lipo wazi.Kondakta wa shabiby acha kuharibu biashara ya ABC
Kuwa na adabu kutukana tukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako.Wewe boya ndio utakuwa ni chawa wa ABC na ndio maaana umekuja kutetea kwa suala ambalo lipo wazi.
kila la heri ipo siku na nauli utaambiwa kausha.hiz kampun kongwe huwa wanajikuta, mie nlishaacha kupanda kampun kongwe,, hizi mpya mpya zinajali sana wateja,,, nna basi langu pendwa , nawajua madereva wote, wahudumu wote,
nkitaka kusafiri napga simu tu, naekewa siti nzuri,, mastori kama kawa,, imefika hatua vimzigo vdogo vdogo nikitaka kulipia naambiwa kausha broO
Mmh naona siku yako ilikuwa mbaya.
Mbona haina matatizo kiasi hicho?
Nimesafiri nayo sana..sema kuna siku Dereva alisinzia akatupeleka porini
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Usipokuwa makini kwenye biashara yako, wakukuangusha au kufanikiwa ni waajiriwa. Lazima uwe makini sana sanaNaenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Unasafirishwaga bure? au huwa unashikiwa mtutu wa bunduki kupanda hayo Mabasi? Hivi huu ujinga wa uzezeta utatutoka lini?Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu