daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 2,499
- 2,204
Muda si mrefu wataanza kutengeneza magari wakishirikiana na Apple
Project ya magari yupo Apple akishirikiana na hyundai kama mtengenezaji. Ikitokea LG kaingia hapa basi ni electric vehicle anakua mtengeneza battery. Maana ame invest sana kwenye battery za EVMuda si mrefu wataanza kutengeneza magari wakishirikiana na Apple
Mh! Tecno hayupo sereous anatenheneza simu za wanyonge tu, ukiona kitu wenye ngozi nyeupe hawatumii ujue low qualityP
Watu huwaona TECNO wapuuzi....
Kumbe wanajua wanachofanya, hivi TECNO ni kampuni ya wapi?
Baada ya miaka 20 hao wachina watakua wameteka soko lote la simu duniani.soma alama za nyakati utaona wanavyobadilika kwa kasi.Mh! Tecno hayupo sereous anatenheneza simu za wanyonge tu, ukiona kitu wenye ngozi nyeupe hawatumii ujue low quality
kama watateka basi haitakuwa kwa kutumia tecno au itel wala infinix.Baada ya miaka 20 hao wachina watakua wameteka soko lote la simu duniani.soma alama za nyakati utaona wanavyobadilika kwa kasi.
Hata soko la DVD kateka mchina sasa hivi,Baada ya miaka 20 hao wachina watakua wameteka soko lote la simu duniani.soma alama za nyakati utaona wanavyobadilika kwa kasi.
Nokia ya sshv sio Nokia ya zamani. Wame license jina kwa HMD Global (company ya Finland huko)Nokia won't die easily asee n baba wa tech upande wa simu
Technologia yake n moyo wa makampuni makubwa ya sim
Alikuwa na project ya 5g enz izo apple na iphone bado wapo kwenye zoom battle
Wakat yy alishinda zoom battle many years ago na pureview
Hmd walichukua upande wa sim tu Siyo kampuni yoteNokia ya sshv sio Nokia ya zamani. Wame license jina kwa HMD Global (company ya Finland huko)
Jamaa si ndio wamewapa wachezaji wa city izi simuMh! Tecno hayupo sereous anatenheneza simu za wanyonge tu, ukiona kitu wenye ngozi nyeupe hawatumii ujue low quality
s9, haina issue kivile.Watumiaji wa LG kuna hii LG velvet unaweza linganisha na Samsung gani?