jimmy jeoff
Member
- Jul 29, 2019
- 77
- 109
Huyo ni wristle brower, tusimzalau. DP World nayo ilianza hivi, tusizalau, jamaa anaonrkana anajua anachokieleza, nimemuelewa vzr sana. Tanzania sio shamba la bibi, wageni waje kuchuma na kuondoka.Japokuwa hoja yako inaweza kuwa na mantiki, lakini naona kama wewe kwa upande wako kama vile kuna maslahi yako pia yametishiwa na kamouni hii! Je, wewe binafsi una uhakika kwamba huna mgongano wa maslahi kuhusiana na ujio au uwepo wa Kampuni hii hapa nchini Tz????????
Hiyo tahadhali vzr ichukuliwe, hayo makampuni yenye unasaba na nchi za Africa Magharibi ni wapigaji. Hivi nchi ina Audit firms zaidi ya 200 registered na NBAA, iweje una engage foreign Audit firm bila sheria za manunuzi ya huduma kufuatwa. CDR ni jambo la siri, watu wanakagua mpk cm za mama kwa watendaji wake. Iko wap xax siri ya utaifa wetu kama nchi, wajui wakenya then waghana!!!
Haya ni madai serious, taasisi usika lazima zifanyie kazi. Sio jambo la kuchukulia kisiasa.